Nawashwa kwenye njia ya haja kubwa

Nawashwa kwenye njia ya haja kubwa

Pole sana Mkuu!.

Kitaalam kuwashwa sehemu ya haja kubwa (Pruritus ani) husababishwa na sababu kadha wa kadha.

Sababu kuu huwa minyoo. Matumizi ya viungo vingi kwenye chakula pamoja na utumiaji mkubwa wa pilipili huweza pia kusababisha kuwashwa kwa eneo hilo.

Unyevu unyevu sehemu ya haja kubwa inaweza kuchochea kuwashwa kwenye eneo la haja kubwa. Unyevu unyevu huo hukaribisha vijidudu na kupelekea kuwashwa.

Dalili za mwanzo za Bawasiri (Hemorrhoids) pamoja na anal fissures huenda ikasabisha kuwashwa kwenye eneo hilo.

Ufanye nini?
.Nenda hospital ukapime na kuangalia kama una minyoo. Daktari atakuandikia dawa kutokana na aina ya minyoo utakayokuwa nayo.

.Usafi binafsi kuhakikisha eneo hilo linakuwa kavu baada ya kujisaidia. Ukishaosha kwa maji, safisha kwa kitambaa kisafi au wipes nzuri. Nawa mikono yako kabla ya kutawaza. Usioshe kwa sabuni katika eneo hilo.

.Punguza kiwango cha matumizi ya viungo na pilipili kwenye mlo wako.

Endapo hali itaendelea, muone daktari kwa uangalizi zaidi!.

Pole sana.
Pia anyoe nywele zinazokua kwenye sehemu hiyo kwani zinachangia kwa kuongeza unyevunyevu japo kuna fikra potofu miongoni mwa watu kuwa kuwa na nywele maeneo ndio ushababi
 
Baada ya kuoga jioni na kabla ya kulala, jifute kwa taulo safi au nguo yoyote laini. Kamua maji ya limau au ndimu nne, kisha jipake au jimwagie sehemu zinazowasha ukiwa umekaa kitako na kupanua miguu. Paka kwa nyuma na mbele, chini ya pumbu kama wewe ni "me" au chini ya uke kaka wewe ni "ke".

Huwa yanawasha kwa muda mfupi kama dakika 5 hivi halafu jipake au jimwagie tena. Nenda kulala na kesho yake fanya vivyo hivyo. Siku ya tatu utakuta pamekauka na kulainika, na huwashwi tena!

Usisahau kuzingatia maoni ya waliotangulia, hususan kula vyakula vya nyuzinyuzi kama matunda, mbogamboga na wanga usiokobolewa.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Yaan mi nilivyokuwa najikuna mpaka nasinzia kwa utamu......vidole havitakiwi viwe na kucha ili usijichubue tundu.Pole mkuu...tafuta sabuni uwe unaoshea
wewe ulikuwa unatumia dawa gani?
Pole,iko dawa moja ntakutumia jina lake ni ya kupaka,ndani ya siku mbili hutasikia muwasho tena...
nashukuru kiongozi nitajie jina la hiyo dawa niitafute
 
Habari wadau.. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.. Nina kama mwezi sasa nasumbuliwa na kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa.. Nimeshameza dawa za minyoo lakini tatizo bado lipo.. Kwahyo naomba mwenye kujua tatizo hili na dawa yake anambie..
Kwahyo mwamba hyo avatar ni yako
 
Habari wadau.. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.. Nina kama mwezi sasa nasumbuliwa na kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa.. Nimeshameza dawa za minyoo lakini tatizo bado lipo.. Kwahyo naomba mwenye kujua tatizo hili na dawa yake anambie..
dooh
mkuu kuna maradhi mengine inabidi uende kwa hospitali moja kwa moja.

kujianika hapa unasababisha tupige foleni huko inbox kwako
 
Yaan mi nilivyokuwa najikuna mpaka nasinzia kwa utamu......vidole havitakiwi viwe na kucha ili usijichubue tundu.Pole mkuu...tafuta sabuni uwe unaoshea
Kama nikwel unayosema bas nmeanza kuamin kwamba hua mnapata utam tunapokwenda kwa mparange...au sio
 
Yaan mi nilivyokuwa najikuna mpaka nasinzia kwa utamu......vidole havitakiwi viwe na kucha ili usijichubue tundu.Pole mkuu...tafuta sabuni uwe unaoshea
Naww uliwashwa mkyundu.....
I wish ningekuwa karibu nikusaidie kukukuna...umbali huu mwe
 
Yaan mi nilivyokuwa najikuna mpaka nasinzia kwa utamu......vidole havitakiwi viwe na kucha ili usijichubue tundu.Pole mkuu...tafuta sabuni uwe unaoshea
wewe ulitumia dawa gani ukapona?
 
Yaan mi nilivyokuwa najikuna mpaka nasinzia kwa utamu......vidole havitakiwi viwe na kucha ili usijichubue tundu.Pole mkuu...tafuta sabuni uwe unaoshea
Wewe kama mimi kwani ni ugonjwa? Mi naona kawaida hebu nipate darasa
 
Mkuu pole hadi umeweka hapa na ushirikiano wakujibu unatoa, pole sana nakushauri nenda hospitali Mkuu pengine ni bawasiri

Hakikisha unakunywa maji yakutosha na kula matunda yenye nyuzi nyuzi kulainisha choo.
kwa bawasiri sidhani maana najisaidia choo cha kawaida tu, na nikijisaidia sipati maumivu yoyote maana mwenye bawasir husikia maumivu.. Mimi nahisi muwasho tu kwa nje pembeni mwa eneo la kutolea haja kubwa
 
Back
Top Bottom