Nawashwa kwenye njia ya haja kubwa

Habari wadau.. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.. Nina kama mwezi sasa nasumbuliwa na kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa.. Nimeshameza dawa za minyoo lakini tatizo bado lipo.. Kwahyo naomba mwenye kujua tatizo hili na dawa yake anambie..

Ulimeza dawa gani ya minyoo? Inawezakana minyoo wako wamefika stage mbaya and umeji-underdose. Nenda hospitali mkuu wapime choo inaweza kua tatizo ni lingine
 
kunawa mikono kabla ya kutawaza ni muhimu sana pia maji unayotawazia ni muhimu pia kuwa safi na salama
 
Kwann apeleke huko kwanza?
Raha ya muwasho upate mkunaji bibi wewe! Ukihisi hali kama hiyo imejirudia tena nakuomba sana unijulishe, nipo tayari kujitolea kwa ajili yako, nitakukuna kiufundi na utapata raha na kuburudika sana sana, niamini hutajuta.
 
Habari wadau.. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.. Nina kama mwezi sasa nasumbuliwa na kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa.. Nimeshameza dawa za minyoo lakini tatizo bado lipo.. Kwahyo naomba mwenye kujua tatizo hili na dawa yake anambie..
 
Una uhakika hiyo ni njia ya haja kubwa pekee?
 
Hapo usikute tayari mdudu keshaingia kwenye embe, kuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…