Nawatafuta watu hawa kwa udi na uvumba. Zawadi nono itatolewa msimu huu wa sikukuu

Nawatafuta watu hawa kwa udi na uvumba. Zawadi nono itatolewa msimu huu wa sikukuu

Jamani wale wa singe secondary babati kuanzia 1996-1999 tujuane hapa
 
Ni kweli.
Nimesoma Tambaza na
Nilikuwa mmoja wa waliohamishiwa shule za Mikoani. Nilipelekwa Ifakara Secondary School aka Machipi, siku hizi nasikia ni ya Girls tupu

Wengi pia kutoka Tambaza tulikuwepo hapo.

Wakati tunahamishiwa hapo shule ilikuwa imetoka kwenye vurugu kubwa za wanafunzi kuchoma moto shule.

Lakini tuliotoka Tambaza tuliituliza Shule na hakuna aliyeleta fyoko mbele ya watoto wa Tambaza.

Sidhani kama kuna shule ilijaa watukutu kuliko Tambaza zama zile, pale ilikuwa zaidi ya utukutu kulikuwa na mpaka washika bunduki na komando yosso wasomi... Wazamia meli wengi sana zama hizo walisoma tambaza..hahahaaaa dah siku zinaenda kasi sana mama..
 
Namtafuta sia lymo ulisema ile shule kongwe alosoma TTS

Mwingine ni Sofia mkangazi
 
Mohamed Atta.
Muller Mohamed Omar.
Khalid Sheikh Mohamedi.
Abu yahaya Abu libyi.
Ayman Alzawahir.

Hawa tumekaa wote sana pale Torabora na maeneo ya Peshawar..
Nyoko hahahahaha
 
utawapata ndugu usihofu...

Japo njia hii ikishindikana kuna nyingne very simpleeee

tafuta kiki au tafuta pesa zaidi...
Watakupigia tuu...
Watakapo pata namba yako, sio jukumu lako,,
ww tafta pesa
Kuna harufu ya ukweli hapa.
 
Mimi namtafuta Gaston Nyirenda tuliachana wilaya ya Mbinga mjini mkoani Ruvuma tukiwa shule ya msingi Mbambi miaka ya 99 baada ya yeye kuhamia mgazini songea.
 
Unaposema sangu nakumbuka mbali kidg aise
Me ni product ya bukuku..... anapenda kesema wapendwa muwe mnawai shule au mpendwa usiluke ukuta ..
Nilikuwa nachele shule kalibu siku zote na mkuta getini ananichapa viboko 2 naingia darasani
Nimechapwa na bukuku hadi nipo form 6 ila maisha haya yanabadilika
 
Hahahah!kuna dent alipigwa na polisi had kudead..nadhan alikua wa Sangu ikatoka had magazetin..nyie mlikua hamfai kbs aisee!
Bilashaka huyu dent tena kiongozi wa wanafunzi atakuwa Maiko Sikupya Iyunga sec. Daaaa! Alikufa mikononi mwa polisi.
 
Sangu lilikuwa chama la wajanja. Masister du na brothermen wa mjini. Pia wahuni hawakukosena.
Wajinga nyie tuliwabuluza sana sisi watoto wa Meta Sec School
Enzi za Njegite
Muulize Joseph Kabila
 
Back
Top Bottom