MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Tumezipokea bwashee!Mimi pamoja na familia yangu kwa dhati kabisa na kwa niaba ya Ukoo wangu wote ulio Kyela , DSM na nje ya nchi tunawatakia heri ya Mwaka mpya wanachadema wote , kwa maana ya viongozi katika ngazi zote na wanachama wote popote walipo ndani na nje ya nchi .
Imefahamika sasa Dunia nzima kwamba Chadema ni mpango halisi wa Mungu wa kupigania demokrasia , haki , heshima na Utu wa Mtanzania , katika hili hatuna wasiwasi nao hata chembe na nitakuwa mchoyo wa fadhila ikiwa nitashindwa kukishukuru chama hiki na kukiombea heri na baraka lukuki kwenye mwaka unaokuja , Chadema ndio nguzo ya demokrasia na amani .
Qurani tukufu imeandika kwamba , Nanukuu , " Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri " mwisho wa kunukuu .
Mungu ibariki Chadema .
Haya. Na mie naungana na wewe kuwatakia wanachadema wote heri ya mwaka mpya.kichwa cha habari kimejieleza
Mimi pamoja na familia yangu kwa dhati kabisa na kwa niaba ya Ukoo wangu wote ulio Kyela , DSM na nje ya nchi tunawatakia heri ya Mwaka mpya wanachadema wote , kwa maana ya viongozi katika ngazi zote na wanachama wote popote walipo ndani na nje ya nchi .
Imefahamika sasa Dunia nzima kwamba Chadema ni mpango halisi wa Mungu wa kupigania demokrasia , haki , heshima na Utu wa Mtanzania , katika hili hatuna wasiwasi nao hata chembe na nitakuwa mchoyo wa fadhila ikiwa nitashindwa kukishukuru chama hiki na kukiombea heri na baraka lukuki kwenye mwaka unaokuja , Chadema ndio nguzo ya demokrasia na amani .
Qurani tukufu imeandika kwamba , Nanukuu , " Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri " mwisho wa kunukuu .
Mungu ibariki Chadema .
Na wewe pia mkuu!Sina la kusema zaidi ya kuwatakia heri ya mwaka mpya 2021 watanzania wote wazalendo!