Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

Kitaifa mwaka 2021 ulikuwa na mapungufu na mafanikio yake. Ni wajibu wa kila mtanzania kufanya kazi kwa bidii kama ambavyo Rais wetu alituhimiza. Aidha, tukumbuke kujituma kwenye sekta zote za kilimo, uvuvi, mifugo, viwanda, jamii, na kwa watumishi wa umma wafanye kazi kwa weledi na kuepuka vitendo vya rushwa ambavyo vimekuwa vikilitafuna taifa letu. Kwa Mshikamano kwa taifa letu ni mafanikio ninayoyaona kwa mwaka 2021. Tuache kutumia muda mwingi kulumbana na kutafuta njia za mkato za ufisadi kutafuta utajiri. Mwaka huu uwe wa kuendeleza uzalendo na kuondoa mitizamo hasi kwa taifa na serikali yetu. Tuanze mwaka kwa sala na tumalize kwa sala Mungu atatunusuru. Nawatakia Mwaka Mpya wenye mafanikio watanzania wote. Tayari sasa ni saa 8.05 mwaka unakimbia mambo ni mengi. Tujipange.
 
Napenda kuwatakia marafiki wotee wa JF heri ya mwaka mpya na mafanikio mema, Neno la leo ni kwamba ANZA NA MUNGU
IMG-20210101-WA0007.jpg
 
Pamoja sana Mkuu..

Wanachadema wote Mbarikiwe sana popote mlipo ,

Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Nguvu na Afya njema.

Kesho ni njema kuliko jana.
 
Back
Top Bottom