Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

Naombeni kuuliza kwa wale wenye ujuzi wa vitabu vya Mwenyezi Mungu, Mitume wake kama Yesu na Mtume Muhammad (S.A.W) waliwahi kusherekea Mwaka mpya
 
1. Mshukuru Mungu kwa yote, mabaya na mazuri, Mungu Ni Mwema Sana kwetu.
2. Omba Mungu atupe afya njema na furaha na amani.
3. Mungu atuepushe na migogoro na vyombo vya dola
4. Mungu atufanikishe kwenye kila tulifanyalo.
5. Mungu atufanyie wepesi
 
Ameen...
 
1. Asante MUNGU kwa kunipa pumzi, kuna wengine wanapumulia Mashine.

2. Asante MUNGU kwa kunipa AFYA NJEMA, kuna wengine wapo hoi kitandani.

3. Mengine yote utanipa baadae kwa neema yako!!

Asante, Asante, Asante!!

CELINE DION_I'M ALIVE
 
Katika upande wa dini ya Kiislamu hakuna sherehe za mwaka mpya . Uislamu siku kuu zake ni 2 tu ,eid El Fitr na Eid El Hajj. Vile Vile uislam haifati hii kalenda ya Kawaida , mwaka mpya wa kiislam huanza mfungo Nne ktk kalenda ya Hijria
Naombeni kuuliza kwa wale wenye ujuzi wa vitabu vya Mwenyezi Mungu, Mitume wake kama Yesu na Mtume Muhammad (S.A.W) waliwahi kusherekea Mwaka mpya
 
Ni hasara kubwa sana kwako kuwa na kadi ya chama hicho
Unataka ibaki Chadema peke yake Mkuu?
Katika mapambano ya kwel ya demokrasia unahitaji wana CCM pia wapenda haki. Lema angeshtukiaje mchezo uliopangwa na kukimbia? Au Lissu angeshtukiaje mpango na kukimbilia ubalozini? Hivi unajua hata Lissu kashinda kiasi gani?
 
Kitengo vipande vipande
 
Back
Top Bottom