Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ameen...1. Mshukuru Mungu kwa yote, mabaya na mazuri, Mungu Ni Mwema Sana kwetu.
2. Omba Mungu atupe afya njema na furaha na amani.
3. Mungu atuepushe na migogoro na vyombo vya dola
4. Mungu atufanikishe kwenye kila tulifanyalo.
5. Mungu atufanyie wepesi
Naombeni kuuliza kwa wale wenye ujuzi wa vitabu vya Mwenyezi Mungu, Mitume wake kama Yesu na Mtume Muhammad (S.A.W) waliwahi kusherekea Mwaka mpya
AmenMungu awe nanyi nyote ✌️✌️
Unataka ibaki Chadema peke yake Mkuu?Ni hasara kubwa sana kwako kuwa na kadi ya chama hicho
Typing error. Angalia kwenye BAO BONYA lako, O na P zina umbali gani?Mwaka moya
Kitengo vipande vipandeUnataka ibaki Chadema peke yake Mkuu?
Katika mapambano ya kwel ya demokrasia unahitaji wana CCM pia wapenda haki. Lema angeshtukiaje mchezo uliopangwa na kukimbia? Au Lissu angeshtukiaje mpango na kukimbilia ubalozini? Hivi unajua hata Lissu kashinda kiasi gani?