Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Mmeshaanzaa mambo yenu!!Naombeni kuuliza kwa wale wenye ujuzi wa vitabu vya Mwenyezi Mungu, Mitume wake kama Yesu na Mtume Muhammad (S.A.W) waliwahi kusherekea Mwaka mpya
Mmeshaanzaa mambo yenu!!
Acheni hizo, wacheni watu waserekee mwaka mpya uwe aliweka Mungu au Shetani we jari umemaliza mwaka na ufungua mwaka mpya kwa Amani na afya.
Hayo mengine ni kusumbuana.
Mungu Baba au Mungu formless asiyefanana na kitu?Naombeni kuuliza kwa wale wenye ujuzi wa vitabu vya Mwenyezi Mungu, Mitume wake kama Yesu na Mtume Muhammad (S.A.W) waliwahi kusherekea Mwaka mpya
Moderator umeunga uzi kizushi sana ! uzi uliounganisha ni kweli ni wa heri ya mwaka mpya lakini si wa Chadema , mara nyingi nimeomba nyuzi zangu zisiungwe kibabe namna hii bali kama zinakera zifutwe kabisaMimi pamoja na familia yangu kwa dhati kabisa na kwa niaba ya Ukoo wangu wote ulio Kyela , DSM na nje ya nchi tunawatakia heri ya Mwaka mpya wanachadema wote , kwa maana ya viongozi katika ngazi zote na wanachama wote popote walipo ndani na nje ya nchi .
Imefahamika sasa Dunia nzima kwamba Chadema ni mpango halisi wa Mungu wa kupigania demokrasia , haki , heshima na Utu wa Mtanzania , katika hili hatuna wasiwasi nao hata chembe na nitakuwa mchoyo wa fadhila ikiwa nitashindwa kukishukuru chama hiki na kukiombea heri na baraka lukuki kwenye mwaka unaokuja , Chadema ndio nguzo ya demokrasia na amani .
Qurani tukufu imeandika kwamba , Nanukuu , " Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri " mwisho wa kunukuu .
Mungu ibariki Chadema .
Amen kweli kabisa na ikawe hivo😍Achana nae ameshaondoka. Now let's deal with 2021, hopeful atakuwa amekuja na baraka za kutosha.
Ni kweli, Mungu awe kimbilio letu!!Tunamshukuru Mungu tumevuka salama na kuingia 2021, tunauombea ukawe mwaka wenye kila heri, tuepushwe na mabalaa yote,Amen.
Ila 2020🤔🤔 😒
Amina, Mungu mkubwa atasikia dua zetu!!Amen kweli kabisa na ikawe hivo😍
Daah, siamini kama nimefika salama mwaka huu mpya!!Achana nae ameshaondoka. Now let's deal with 2021, hopeful atakuwa amekuja na baraka za kutosha.
Kwa kutufikisha salama 2021!!!Asante MUNGU WA MBINGUNI
Tunamshukuru Mungu tumevuka salama na kuingia 2021, tunauombea ukawe mwaka wenye kila heri, tuepushwe na mabalaa yote,Amen.
Ila 2020[emoji848][emoji848] [emoji19]
Karibu sana babe ,mama fina atafurahiiMwaka hu .... lazim niende kwa mama financial