Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

Kwani hao wazanzibar unaoishi nao huko hawana kwao mkuu? Si warudi nchini kwao? Kila mtu arudi kwenye nchi yake, tusichoshane.

Wanachofanya wananchi wa Afrika Kusini ndicho kinachotakiwa kufanyika huko Zanzibar. Watanganyika wote waliorundikana Zzanzibar na kuchukua fursa za wazanzibar bila sababu za msingi, waondoshwe kwa nguvu warudi nchini kwao.

Sio busara kutoheshinu sheria za nchi nyingine.
 
Ubogasi wa Nyerere ndio unaonekana sasa maana kuna watu walimuona kama nabii kumbe hakuna lolote la maana alilofanya.
Kama ni uhuru mtu yeyote angeweza kusimamia jambo hili kwa kuwa Dunia ilishahama toka kwenye ukoloni wa moja kwa moja.
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kung'ang'ania ktk nchi ya watu wakati hatakiwi kukaa huko?
 
Wewe unayeng'ang'ania ktk nchi ya watu unajiona mzima mkuu?
Hiyo nchi kuiita nchi ni ukosefu wa uelewa, hao wazenji unakuta Baba anatoka Yemen na Mama kwao Mkuranga au Kilwa Masoko.

Hawana jeuri ya kujitegemea kama wanavyoongea kwani hawana ardhi yenye kuwatosha kufanya wanavyojisikia.

Mengine ni hisia zinazosambazwa mitandaoni, lakini mzenji mwenye akili timamu hawezi hata kufikiria kuhusu Zanzibar kujitegemea.
 
Mimi ninachofurahia hizi chokochoko za wazenji zinasaidia kuharakisha kifo cha huu muungano, Big up Wazanzibari furusha kabisa Watanganyika na sisi tufurushe wala urojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…