Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

Sema tu kuwa wadanganyika wamewaudhi Wakizi mkazi
 
Sawa tu... Ujinga ni mwingi sana huku Afrika. Kila mmoja arudi kwake...
Yeah. Kila mtu ashinde mechi zake akiwa nchini kwao. Tusichoshane bila sababu za msingi.
 
Kama huko kwenu Bara hamjawahi kuwabagua hiyo ni choice yenu ila wao hawawataki kwao hivyo inabidi muondoke muwaachie nchi yao na kama mnang'ang'ania huku wenyewe hawawataki inabidi mfurushwe kwa nguvu hata mkipigwa ni sawa tu, it's their country and you're not wanted there.
 
Well said πŸ’―%
 
Wabara hawawezi kuwa kikwazo cha ajira kwa wazenj, hapo serikali imeshindwa kutatua shida za wananchi,wakatafuta mbuzi wa kafara.

Kampuni nyingi zilizopo Zenj, recruitment ya wafnyakazi inafanyika Dar! HQ zipo dar! Sasa, unategemea atapata kazi na ni hapo?

Kampuni zinatoka ulaya, zikija Afrika zinaweka HQ Nairobi Kenya, zinafungua matawi TZ, Uganda, unategemea nani atapata ajira wa kwanza, ni mkenya tu! Ndio kinachotokea, Zenj.

Niliwahi kufanya kazi na World mobile, walikuwa pale Michenzani mall, wafnyakazi wote walipatikana Dar, tukaenda zenj, kufunga mifumo ya WIFI.

Kampuni ikihitaji Vifaa, vya umeme, IT, inaagiza Dar kutoka kwa partners wake!

Wazenj, waliishia kuwa vibarua, na madereva wa kusafirisha mizigo, kutoka Bandarini, wahandisi wote, kutoka Bara, Kenya, Ghana!

Ni swala la mfumo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…