Ukenge ni kufanya ubaguzi wa kifala fala na kusahau kuwa Tanganyika kuna idadi kubwa ya wazanzibar kuliko hata waliopo Zanzibar na ikitokea wafukuzwe Tanganyika hapo Zanzibar hapataweza kutosha kuishi utawatafutia pa kwenda kwa upumbavu wakoYapigwe tuu, kutafuta maisha kwenye nchi za watu bila utaratibu wao ni ukenge
Anza kuwarudisha wazanzibar waliopo Tanganyika kwanza kabla ya kuendelea na upumbavu wakoHakuna kuelewana hapo; rudi nchini kwenu Tanganyika.
Huwa naona matamgazo ya Zenji kuvutia wawekezaji wageni kwenda kuwekeza kwenye Real Estates (majengo, mahoteli, nk).Kama watanganyika hawataki kuondoka kwa hiyari, wapigwe tu, hakuna namna!
Kisiwa kilikuwa kitupu walipelewa huko toka Bagamoyo utumwani wanaojiita wazanzibar wenyewe siyo kwao ni wahamiaji enzi ya utumwa toka Tabora na mikoa mingine ikiwemo lindi mtwara Tanga na baadhi toka comoroKabla ya huo muungano walikua wanaishi vipi ?
Wanaochukia watanganyika ni kikundi fulani cha wapumbavu wachache wenye Akili ndogo kama za panya, lakini wazanzibar wengi wanaojitambua hawana shida na watanganyika na uwekezaji hauna kizuizi kwa watanganyikaHuwa naona matamgazo ya Zenji kuvutia wawekezaji wageni kwenda kuwekeza kwenye Real Estates. Swali ni je, Mtanganyika anaweza kwenda kuwekeza au wanaotakiwa ni foreigners wengine kasoro Watanganyika??
Jagina
Visingizio vya kuharibu Nchi vya uongo vikitumika upande wa Tanganyika wawafukuze wazanzibar waliopo Tanganyika utawapokea hapo kwako na kuwapa hifadhi? Acheni ubaguzi wa kipumbavu kila Mtanzania anayo haki ya kuishi popote ili mradi hafunji AmaniKila Taifa linaangalia maslahi yake, maisha yamekuwa magumu kila sehemu ya dunia.
Kama unaona nchi yako inaharibiwa na wachache basi fukuza tu
Hata wanaijeria wakiharibu mahali huwa wanatimuliwa tu
Hata wakisema tuingie kwa Visa sawa tu
Kikundi?Wanaochukia watanganyika ni kikundi fulani cha wapumbavu wachache wenye Akili ndogo kama za panya,
Kama ni usalama kwanini tusiwe na wasi wasi na Kenya ambao tuna mpaka mrefu kuliko Zanzibar?Hayati baba wa Taifa, aliweka huu Muungano kwa kigezo kimoja kikubwa na muhimu sana, ambacho ni swala la usalama wa nchi, ukaribu tulionao katika ya Tanganyika na Zanzibari...tukiruhusu zanzibar iwe nchi huru ni wazi tutakuwa tumeacha wazi mlango muhimu sana, kama mnavyofaham nchi ikijitegemea ina kuwa na sheria na taratibu zake haziwezi kuingiliwa hivyo maharamia na wabaya wetu ni rahisi kutuathiri kupitia mlango huu muhimu.
Watanganyika kwanini hamuwekezi kwenu ? Umasikini wote Huo mlionao mnapoteza wakati kufikiria Zanzibar kila wakati? Nyerere kawaroga vibaya sana na Zanzibar
Kama ujasiri huo upo then do it iwe ni tit for tat kama ilivyo ada japo kutokana na uoga, kutokujiamini, kukosa uzalendo kwa Tanganyika, uchawa, kujipendekeza, jinsi majority ya Watanganyika wanavyokubali na kuchekelea kuwa inferior kwa Wazanzibari, kutokujiamini, kutokujikubali, kutokujiheshimu pamoja na uzuzu na upumbavu mwingi uliowajaa Watanganyika hawawezi kuwa na uthubu, nia wala sababu(hata kama wao wanafukuzwa na kudhalilishwa katika taifa la Zanzibar) ya kuwafukuza Wazanzibari.Sasa wazanzibar waliopo bara Tanganyika nao wafukuzwe?
One billion dollar💵💰 question, ukijibuwa please ni-tag.Kama ni usalama kwanini tusiwe na wasi wasi na Kenya ambao tuna mpaka mrefu kuliko Zanzibar?
Kwanini si Msumbiji, DRC, Zambia, Rwanda , Burundi au Uganda!
Seriously unaamini ulichokiandika? Kama unakiamini basi kuna kubwa sana ya kuelimisha umma wa Watanganyika.Hayati baba wa Taifa, aliweka huu Muungano kwa kigezo kimoja kikubwa na muhimu sana, ambacho ni swala la usalama wa nchi, ukaribu tulionao katika ya Tanganyika na Zanzibari...tukiruhusu zanzibar iwe nchi huru ni wazi tutakuwa tumeacha wazi mlango muhimu sana, kama mnavyofaham nchi ikijitegemea ina kuwa na sheria na taratibu zake haziwezi kuingiliwa hivyo maharamia na wabaya wetu ni rahisi kutuathiri kupitia mlango huu muhimu. Ila tukizungumza tunachonufaika hakuna, zanzibari wananufaika zaidi na huu Muungano kuliko sisi watanganyika, hata umeme unaotumika Zanzibari unatoka Tanzania bara, ila kwa tulipofikia hatuna budi kukubaliana na hili, ila Angalizo serikali lazima waweke mikakati mizito sana kwenye mipaka ya bahari, maana kiuzoefu, ndio sehemu ngumu mno kuilinda na ni rahisi kuvamiwa na maharamia. Nawasilisha🙏
Too late, tumeshafika kwenye kile kinachoitwa a point of no return. We have already crossed the Rubicon.Upumbavu wa kuwaona watanganyika kuwa hawafai kuishi kufanya kazi Zanzibar yafaa ukome mara moja kwani siku watanganyika wakiona wazanzibar hawafai kuishi Tanganyika na kufanya kazi itavunja muungano, acheni ubaguzi kila Mtanzania anayo haki ya kuishi popote Tanzania kwa Amani
Mkuu naona umechafukwaaaKwanza nchi yao ni ndogo sana. Halafu mitanganyika inatoka Tanganyika inaenda kurundikana kule! Haikubaliki. Wapigwe tu!
Kisiwa kilikuwa kitupu walipelewa huko toka Bagamoyo utumwani wanaojiita wazanzibar wenyewe siyo kwao ni wahamiaji enzi ya utumwa toka Tabora na mikoa mingine ikiwemo lindi mtwara Tanga na baadhi toka comoro
Maalim,Watanganyika kwanini hamuwekezi kwenu ? Umasikini wote Huo mlionao mnapoteza wakati kufikiria Zanzibar kila wakati? Nyerere kawaroga vibaya sana na Zanzibar
Katiba ya Zanzibar imesema ni nchi huru na katiba ya Tanzania inasema Tanzania ni moja,Kwa iyo wakiwa kwao ni kwao na wakija Tanzania ni kwao ila ww ukienda Zanzibar sio kwenu,so Wana haki ya kukuzibua ukileta ukaidi ukiwa kwao ,na wakija huku mna haki sawa ,Kwa iyo Chao ni Chao na chako ni Chao piaHuko juu umeandika vizuri ila hapa kwenye kumalizia umekosea mkuu, sio lazima mpaka watu wapigane ndio wapate suluhisho sisi huku mboni wapo wazanzibari wengi jirani ninapokaa kuna wazanzibari wanaishi vizuri tu na hatujawahi kuwabagua hata kidogo wana nyumba yao nzuri tu sasa tukianza mambo haya itakuaje huku hawaioni hatari hio tukiamua na sisi kujibu unafikiri vilio vitakua kiasi gani?
Km hawana nyaraka si wapewe utaratibu wa jinsi ya kuzipata na sio vinginevyo km wakishindwa ndio hatua ya kuwarudisha ifuate ila sio kuwafanyia fujo
Haya mawazo yalikuwa sahihi miaka ya 1960's huko ila siyo leo. Kwa teknolojia ya sasa adui anaweza kuwa Mogadishu, Addis Ababa, Asmara... akaisambaratisha Dodoma vizuri tu.Hayati baba wa Taifa, aliweka huu Muungano kwa kigezo kimoja kikubwa na muhimu sana, ambacho ni swala la usalama wa nchi, ukaribu tulionao katika ya Tanganyika na Zanzibari...tukiruhusu zanzibar iwe nchi huru ni wazi tutakuwa tumeacha wazi mlango muhimu sana, kama mnavyofaham nchi ikijitegemea ina kuwa na sheria na taratibu zake haziwezi kuingiliwa hivyo maharamia na wabaya wetu ni rahisi kutuathiri kupitia mlango huu muhimu. Ila tukizungumza tunachonufaika hakuna, zanzibari wananufaika zaidi na huu Muungano kuliko sisi watanganyika, hata umeme unaotumika Zanzibari unatoka Tanzania bara, ila kwa tulipofikia hatuna budi kukubaliana na hili, ila Angalizo serikali lazima waweke mikakati mizito sana kwenye mipaka ya bahari, maana kiuzoefu, ndio sehemu ngumu mno kuilinda na ni rahisi kuvamiwa na maharamia. Nawasilisha🙏