M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Acheni kulilia nchi za watu kama hawawataki, nendeni kwenye nchi ambazo mtakuwa embraced.Maalim,
Mbona nyie mnawekeza sana Tanganyika, au mkuki kwa nguruwe?
Kwa hiyo watu kutoka mataifa mengine wakiwekeza Zanzibar ni sawa, kasoro Watanganyika?
we nawe peleka stress zako huko..Upumbavu wako hauna kiwango ni upumbavu wa kutisha sana, sasa watanganyika nao wakiiga upumbavu wako waanze kuwafukuza wazanzibar toka Tanganyika Nchi itakuwa na Amani?
Sasahiyo sisi inatuhusu nini?? Kama wengine wataishi baharini au hawatatosha sisi inatuhusu nini?? Yani nijali kwamba nchi nyingine wataishije?? Huo si ukichaaUkenge ni kufanya ubaguzi wa kifala fala na kusahau kuwa Tanganyika kuna idadi kubwa ya wazanzibar kuliko hata waliopo Zanzibar na ikitokea wafukuzwe Tanganyika hapo Zanzibar hapataweza kutosha kuishi utawatafutia pa kwenda kwa upumbavu wako
Unaposema havunji sheria una maana gani wewe unaejua sheria?Visingizio vya kuharibu Nchi vya uongo vikitumika upande wa Tanganyika wawafukuze wazanzibar waliopo Tanganyika utawapokea hapo kwako na kuwapa hifadhi? Acheni ubaguzi wa kipumbavu kila Mtanzania anayo haki ya kuishi popote ili mradi hafunji Amani
Moja ya maneno ya aliekuwa Waziri na sasa marehemuHayati baba wa Taifa, aliweka huu Muungano kwa kigezo kimoja kikubwa na muhimu sana, ambacho ni swala la usalama wa nchi, ukaribu tulionao katika ya Tanganyika na Zanzibari...tukiruhusu zanzibar iwe nchi huru ni wazi tutakuwa tumeacha wazi mlango muhimu sana, kama mnavyofaham nchi ikijitegemea ina kuwa na sheria na taratibu zake haziwezi kuingiliwa hivyo maharamia na wabaya wetu ni rahisi kutuathiri kupitia mlango huu muhimu. Ila tukizungumza tunachonufaika hakuna, zanzibari wananufaika zaidi na huu Muungano kuliko sisi watanganyika, hata umeme unaotumika Zanzibari unatoka Tanzania bara, ila kwa tulipofikia hatuna budi kukubaliana na hili, ila Angalizo serikali lazima waweke mikakati mizito sana kwenye mipaka ya bahari, maana kiuzoefu, ndio sehemu ngumu mno kuilinda na ni rahisi kuvamiwa na maharamia. Nawasilisha🙏
Hawana pa kuchomokea hawa kenge. Wamebanwa kila kona.Yajayo yanafurahisha. Kwa sasa free lissu, muungano kule, samia hafai, nchi imefilisika, misaada imefungwa,utekaji ndo usiseme yaan patamu kweli. Ila wafanye yote wasipandishe bei ya konyagi saana