Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
SGR haina condition za mkataba kama hizo za waarabu. waturuki pamoja na kwamba ni ndugu wa waaarabu kiimani, hawakuhitaji kutuletea condition hizo kwasababu wao wana ustaarabu wa ulimwengi wa kwanza.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Kwenye makinikia tulifanyiwa magilini laiv laiv tena bila chengaKwani mama Samia kauza nini?
Hamjaona changa la Macho la Makinikia? Au huelewi kilichofanyika?
Unafki! 😂😂😂🙌🏾huyu mama samia kila siku namuombea katika dua zangu nampenda mnoo
Bado hapo hujaeleweka, unachokipinga wewe ni nini? Wacha kubwabwaja bila mpango, maoni ya watu yanakuhusu nini wewe? Kila mmoja wetu atabeba msalana wake. Wewe beba msalaba wako hapa, achana na wa wengine.Usijifariji kwa kuanzisha mada zinazokuhusu wewe mwenyewe Mama muki..., maoni ya watu yatazidi kukuumiza. Kubali kwamba nafasi uliyopo ni kubwa sana kuimudu inakushinda! Kila tukiomba appointment ya mazungumzo tukupe yetu ya moyoni na tukuelekeze unatuchapa kalenda na hatupati barua pepe za majibu. UNAYUMBA!
Hacha kuuliza maswali ya kijinga,Hawamu ya tano kila kitu kilikuwa kinafanyika tena kwa wakati,Tangu JIWE afariki kila kitu kimesimama alafu huyu mama anakuja kuuza Bandari....Alaaniwe aliyetuondolea Magufuri na kutuletea huyu Fisadi.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Haya nimehacha, nimekuhelewa.Hacha kuuliza maswali ya kijinga,Hawamu ya tano kila kitu kilikuwa kinafanyika tena kwa wakati,Tangu JIWE afariki kila kitu kimesimama alafu huyu mama anakuja kuuza Bandari....Alaaniwe aliyetuondolea Magufuri na kutuletea huyu Fisadi.
Nijifundishe nini kwa mfia dini Kama wewe?Jifundishe kupunguza maandiko, unafikiri nani ana muda wa kukusoma jiandiko refu namna hiyo wakati hauna utam wa kuandika. Kwani unaandika historia hapa? Nenda kwa Mohamed Said ukajifundishe kuandika historia.
Hapa unasukuma ujumbe wako mistari miwili mitatu mifupi fupi,tosha. Ni current events.
Nini kilichokuudhi kuhusu mkataba wa bandari? Ni mama Samia, au Uislam wake au Uzanzibari wake au Vifungu vya mkataba? Au Waaeabu wa Dubai, Au Uislam wao au Kampuni yao ya DP World?Maana hamueleweki.
Kwani Kuna kesi yoyote ya tu kivunjiwa mkataba wa SGR au JNHPPTena Mungu mkubwa sana, Kikwete tayari ile mikataba, SGR ilikuwa kishawapa China, Bwawa kishawapa Brazil, bandari ya bagamoyo alishawapa China na Oman, jamaaa alipoingia tu akaipiga chini yote.
Kwa miaka nimekuwa ni msomaji wa michango yako hapa jukwaani. Nilitokea kupenda ujengaji wako wa hoja iwe ni kwenye mada za dini (ukitetea uislamu) ama za kijamii.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Magufuli alisaini mikataba na Waarabu hakuna aliyelalamika kama ni udini kwa sababu ina maslahi kwa taifa ila huu wa bandari ni wizi wa mchana kweupe.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?