Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Hapa unataka kusema kwamba MAGU nae aliwamilikisha wageni hiyo miradi?Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Haikuwa wakati wa Nyerere, ni Rais Ali Hassan Mwinyi.Nimegundua shida ni Uelewa,hata ingekuwaje watu Kama [mention]FaizaFoxy [/mention] wako wengi Ndio wanasumbua hili taifa.wakipungua hawa tutakua tunajadiliana kidogo tu kwa hoja then Taunasonga mbele.
Kama mpaka leo huyu bibi hajaelewa shida ya ule mkataba wa bandari na Dpw kuwa ni vipengele na sio muwekezaji unafikiri bibi yangu kijijini atasemaje?
Faiza kasoma maandiko mengi sanaa na hajaelewa sasa tutegemee nini kama taifa kwa watu kama dada yangu Faiza.
Sasa nimelelewa kwanini Nyerere aliamua kupitisha Azimio la Vyama vingi licha ya kura ya kuvipinga kuwa zilishinda.
Jinga kabisa kama huyu unayemtetea. Wewe ndiyo unatakiwa ujiuliza mbona serikali iliposaini mkataba na watoka nchi za kiislam watu hawakupiga kelele? Huoni kuwa wewe ndiyo unaonekana zuzu? Magufuli aliingia mikataba ya kugawa nchi kama Samia? Mpaka misitu anagawa kwa waarabu?Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Kumbe tatizo lako ni Waislam?Jinga kabisa kama huyu unayemtetea. Wewe ndiyo unatakiwa ujiuliza mbona serikali iliposaini mkataba na watoka nchi za kiislam watu hawakupiga kelele? Huoni kuwa wewe ndiyo unaonekana zuzu? Magufuli aliingia mikataba ya kugawa nchi kama Samia? Mpaka misitu anagawa kwa waarabu?
Haikuwa wakati wa Nyerere, ni Rais Ali Hassan Mwinyi.
Nyerere alivifungia vyama vingi.
Kwani kuna mtu kalalamika kuhusu kupewa majengo yale ya tanescoNa majengo ya chuo Cha TANESCO morogoro yaliyotolewa na rais wa awamu ya tatu kuipa taasisi ya Muslim development inayosimamia Muslim university of morogoro (MUM) Majengo Yale yangetolewa na rais muislamu maaskofu wasingeandika waraka tu (KIPEPERUSHI CHA UDAKU ) Bali wangeandika biblia mpya!.
Ndio ujue kumbe kweli mkataba wa DP WORD una kasoro ingekuwa chuki za kidini pasi misri wangenyimwa tendaNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Muislam mwenzako anayejielewa Prof Shivji leo naye kapinga limkataba la bandari
Muulize Kabudi.
Hakuna kura zilizopigwa katika kuruhusu vyama vingi.Nimegundua shida ni Uelewa,hata ingekuwaje watu Kama [mention]FaizaFoxy [/mention] wako wengi Ndio wanasumbua hili taifa.wakipungua hawa tutakua tunajadiliana kidogo tu kwa hoja then Taunasonga mbele.
Kama mpaka leo huyu bibi hajaelewa shida ya ule mkataba wa bandari na Dpw kuwa ni vipengele na sio muwekezaji unafikiri bibi yangu kijijini atasemaje?
Faiza kasoma maandiko mengi sanaa na hajaelewa sasa tutegemee nini kama taifa kwa watu kama dada yangu Faiza.
Sasa nimelelewa kwanini Nyerere aliamua kupitisha Azimio la Vyama vingi licha ya kura ya kuvipinga kuwa zilishinda.
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Unauliza vitu kama vile huna kichwa,? Serikali ya SSH ilisaini ile IGA ya bandari kuuziana mbuzi? Kwann mswada wa kubadilisha sheria ya kulinda raslimali za nchi uliondolewa bungeni baada zile kelele? Tulikuwa tukielekea kukabidhi nchi kwa ndugu zako Waarabu ingawa bado yale makubaliano mengine 30 yaliosainiwa sambamba na hayo ya bandari hayajawekwa wazi, nadhani nayo ni majanga tu.Huo mkataba wa mauziano ni upi na uko wapi?
Mwanzoni ulikuwa ukitetea hayo ya akina Mruma na kuwashambulia akina Lissu waliokuwa wakipiga kelele na kuwaita majina ya aina zote, leo umegeuka tena!!!Alimilikisha migodi ya dhahabu na hao hao sasa tunawalipa kupitia kesi walizotufungulia, au umesahau ya Mruma?
Yule kichaa angekuwapo, miradi yote hii ingekuwa imeshakamilika. Unafanya maskhara wewe; hakuna mradi uliokwama chini yake. Alikuwa anajua kusimamia watendaji wake, jambo ambalo mama haliwezi na hivyo kuwapo excuses za kila siku. Makamba kusimamia ujenzi wa bwawa lile ilikilikuwa ni kichekeso cha karne. SGR kusimamiwa na Mbarawa ndiyo basi tena; hawa watu hawakuwamo katika kabineti ya kichaa yule kwani aliwapima na kuwaondoa kutokana na madhaifu yao ambayo mama ameyarudisha na kusababisha uzembe na ucheleweshaji wote pamoja matatizo ya miradi hiyo sasa. Angalia jinsi zile flyovers zilivyojengwa in time; hata terminal 3 iliyokuwa imeshakwama wakati wa Kikwete, alipoisimamia ikakamilika.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Nani alikwambia Wataruki wote ni Waislamu??!!Nakwambia ingekuwa patashika nguo kuchanika.
SGR Dar - Moro tuliwanyima wachina tukawapa waturuki waislamu. Angefanya hii Mama Samia sijui wale wakristo wenzangu ingekuwaje