Nimegundua shida ni Uelewa,hata ingekuwaje watu Kama [mention]FaizaFoxy [/mention] wako wengi Ndio wanasumbua hili taifa.wakipungua hawa tutakua tunajadiliana kidogo tu kwa hoja then Taunasonga mbele.
Kama mpaka leo huyu bibi hajaelewa shida ya ule mkataba wa bandari na Dpw kuwa ni vipengele na sio muwekezaji unafikiri bibi yangu kijijini atasemaje?
Faiza kasoma maandiko mengi sanaa na hajaelewa sasa tutegemee nini kama taifa kwa watu kama dada yangu Faiza.
Sasa nimelelewa kwanini Nyerere aliamua kupitisha Azimio la Vyama vingi licha ya kura ya kuvipinga kuwa zilishinda.