Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Nakuona unazidi kutapatapa na unazidi kulegea mishale ni mingi sana pole ndio ukubwa mkataba wa uuzaji wa bandari umekushinda kuutetea
 
Naona Kanisa lingehamia humu.
Tena Mungu mkubwa sana, Kikwete tayari ile mikataba, SGR ilikuwa kishawapa China, Bwawa kishawapa Brazil, bandari ya bagamoyo alishawapa China na Oman, jamaaa alipoingia tu akaipiga chini yote.
 
Mbona unachanganya machungwa na mananasi? Bi Kinyogoli Mkwere!

Zile ni tenda tunamchagua nani afanye kazi.

Bandari - Ni Funguo ya lango la nchi

wala hatukatai DPW wakabidhiwe, tusahihishe zile terms. Full stop
Una point ila akili ndogo hawawezi elewa
 
Japo unacholinganisha ni tofauti kabisa kwa kila hali (mkataba na uwekezaji), jambo moja litakumbukwa: CCM itafia mikononi mwake kama huo mkataba utatekelezwa jinsi ulivyo. Ukakasi ulioko kwenye huo mkataba utawapa nguvu wapinzani kuiondoa CCM madarakani. Hata fedha ya mafuta ikitumika, kurubuni wapiga kura kupitia wagombea, haitasaidia kuondoa kichechefu cha bandari kugeuzwa lango la Tanzania kutawaliwa tena.
 
Hebu soma tena ujinga ulioandika halafu ujicheke.
 
Unawashwa sana
 
Nakwambia ingekuwa patashika nguo kuchanika.
SGR Dar - Moro tuliwanyima wachina tukawapa waturuki waislamu. Angefanya hii Mama Samia sijui wale wakristo wenzangu ingekuwaje
Yaani Dr Slaa angetembea uchi just to make sure kila mtu anaona alivyochukizwa.....Pengo angetoa waraka kama wote
 

mkataba ungekuwa ni mauziano ya SGR, nawazia tu hiyo IGA yake ingekuwaje? duties zote ni JMT za kujenga na wakimaliza ujenzi waanze kutoza toza kwa muda watakapo jisikia.
 





NDO MANA NAKUAMBIAGA KUWA WEWE NI KILAZA

HIIYO NI NINI.
 
Nakwambia ingekuwa patashika nguo kuchanika.
SGR Dar - Moro tuliwanyima wachina tukawapa waturuki waislamu. Angefanya hii Mama Samia sijui wale wakristo wenzangu ingekuwaje
Kuna arguments nilikuona a learned man. Ila unaposhindwa kutenganisha mambo hapo ni questionable. you have to differentiate between “concept“ against garbage, I mean metaphors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…