Namla bila kummalizaKumbe wakati wengine tuna kula πΊ kuna wengine mnakula mengine π
Mwaka mzima uliokuwa naye umeshindwa ku-observe attitude yake kujua ni timing gani nzuri ya kumwambia na uende na approach ipi?Ingekuwa rahisi ningeshaweza maana mwaka unaenda huu
π€£π€£π€£π€£π€£Ukimpemda mtu mwambie ukweli.
Wala usirembe rembe sijui baby, love we mwambie, Kinywa kinatoa harufu mwaka mzima sasa. Twende kwa Dentist utaniabisha kwa mashemeji zako.
πππ aaah uongo yaani mtu anuke usisikie kisa upendo mbona havihusiniKuna watu watasema humpendi tu, ungekua unampenda hata hiyo harufu usingeisikia.
Enewei,
Vipi hela anatoa lakini?
Ajaribu kutumia mouth wash pia, kunywa maji mengi piaJamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume
Tuna mahusiano inaelekea mwaka sasa lakini nashindwa namna ya kufanya ili kumsaidia huyu kijana
Jamani kijana ananuka mno mno mno mdomo kiasi kwamba najisikiaga mpk kutapika mpk nina mkwepa kuonana nae
Tangu mara ya kwanza nakutana nae alikuwa hivyohivyo nikafikiri labda sio msafi.. jamani kijana ni msafi sana sana anaoga mara nyingi kushinda mimi kwa siku anapiga mswaki Asubuhi na jioni
Hanuki jasho kabisa ila mdomo jamani
Kiasi kwamba akianza kuongea huwa nakwepesha sura kukwepa harufu ya mdomo wake hata kukiss huwa napata kichefuchefu nikitoka nalamba ndimu na yeye anapenda kulambana lambana inanikata kwakweli
Nataka Dawa ya kumsaidia sitaki kumuacha
Watu waongo sanaππ€£πππ aaah uongo yaani mtu anuke usisikie kisa upendo mbona havihusini
Ndio nimesema naomba nipate mbinu ya kumuambia muda wote huo natamani kumwambia ila sina uhakika kwa namna nitakavyowasilisha haitomfanya akijisikia vibayaMwaka mzima uliokuwa naye umeshindwa ku-observe attitude yake kujua ni timing gani nzuri ya kumwambia na uende na approach ipi?
Kwasababu kivyovyote vile hata ukisema watu wakushauri, bado wewe ndio unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufanya kilicho bora zaidi kwasababu ni mtu ambaye umemjua kwa miaka.
SawaAjaribu kutumia mouth wash pia, kunywa maji mengi pia
ππkatiliMwambie tu kama inataka tuendelee na mahusiano..
Twende mguu kwa mguu hadi kwa wataalamu wa kinywa maana ukiongea hadi kicha kinaniuma
Ni uongo tena kama wakigombana na kutukanana ndio wanaambiana madhaifu ya kula mmojaWatu waongo sanaππ€£
ππππ duuuh mkavu sanaUkimpemda mtu mwambie ukweli.
Wala usirembe rembe sijui baby, love we mwambie, Kinywa kinatoa harufu mwaka mzima sasa. Twende kwa Dentist utaniabisha kwa mashemeji zako.
Akinuna ni sawa tu maana atakuwa amekuepushia miharufu Ila kwa daktari muende halafu akipona mpe raha zote. Atakushukuru sana na hatakusahau hata mkiachana.
Bc vumilia, mana kumwambia hutakiKumuacha hapana
Nataka kumwambia Ngoja niendelee kufiliria na kupata mawazo humu namna ya kumwambiaBc vumilia, mana kumwambia hutaki
Ndio hvo, anaweza pata dawa saingine inakuaga ni ugonjwa wa kinywa au tumboππkatili
Pole sana Asee Hilo tatizo linahitaji moyo wa chuma.Aisee maana na mimi huwa najinusa isije kuwa nishapata maambukizi
Sanaa mara ya kwanza nilihisi labda panya kafa nikaanza kukagua kumbe ni yeyePole sana Asee Hilo tatizo linahitaji moyo wa chuma.
Akili zako unazijua mwnywNataka kumwambia Ngoja niendelee kufiliria na kupata mawazo humu namna ya kumwambia