Kumbe na njia ya kumuingia unaijua kabisa. Mzingue wakati wa kutukanana mchane ukweli, afu baadae mwombe msamaha yaishe na umwambie la kunuka mdomo ulikua serious mengine ni hasira.Ni uongo tena kama wakigombana na kutukanana ndio wanaambiana madhaifu ya kula mmoja
Utamuambiaje??!!!!!!......unamuambia tu......mpenzi wangu fulani eeeenh!...anaitika naam!, unamueleza~ twende nikupeleke kwa mtaalamu wa afya ya kunywa na meno uko na tatizo kinywa chako kinatoa harufu kali na mbaya sana inaninyima uhuru wa kujiachia tukiwa faragha nakosa kbs hamu ya kufurahia mambo yetu.Nataka namna ya kumwambia nahisi yeye hajijui nitamwambiaje aende huko
Yes! Ongea nae kabisa na ampe dawa za kutosha.Angalau ya pili labda na nikifika nikamwambie daktari kwa siri ampime yeye maana duuh nachoka mimi
Hapa inahitajika akili sanaπ π π π .Utavuruga penzi la watuπ€£π€£
Au amuulize "baby umekula leo mayai ya kuchemsha" atajiongeza tuHapa inahitajika akili sanaπ π π π .
Ingawa mimi Huwa namchana kiutani utani π π π π
Namwambia kabisa aise inabidi twende hospital una tatizo wewe.
Na nikikazania jambo langu hapingi.
Atachukia π π πAu amuulize "baby umekula leo mayai ya kuchemsha" atajiongeza tu
πΉπ€£
π€£π€£basi ngoja aendelee kuvumiliaAtachukia π π π
Mwenyekupenda Haoni Chongo Atasema KengezaAnapenda sana tena ananijazia mate siku hizi huwa nazuga na pipi ila bado harufu inapenya
Kama ana Hela hata mimi navumilia sema nitakuwa namsikiliza huku naangalia pembeniπ€£π€£basi ngoja aendelee kuvumilia
Hahaaaa...
Heheeee....
Dunia ina mambo mob sana alloo.....
Ngoja nimwambie Enjo aniongeze tu bia mazeee...View attachment 3647796
tunapata izi hela kwa shidaπ€£Kama ana Hela hata mimi navumilia sema nitakuwa namsikiliza huku naangalia pembeni
Check up and deep cleaning ndio solution , itakuwa meno mabovu yanaficha bacteria ayatoe,azibe au root canal, ongea naye open na msaidie kwa nia ya kumsaidia and to save your relationship π, sio tatizo kubwa sanaJamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume
Tuna mahusiano inaelekea mwaka sasa lakini nashindwa namna ya kufanya ili kumsaidia huyu kijana
Jamani kijana ananuka mno mno mno mdomo kiasi kwamba najisikiaga mpk kutapika mpk nina mkwepa kuonana nae
Tangu mara ya kwanza nakutana nae alikuwa hivyohivyo nikafikiri labda sio msafi.. jamani kijana ni msafi sana sana anaoga mara nyingi kushinda mimi kwa siku anapiga mswaki Asubuhi na jioni
Hanuki jasho kabisa ila mdomo jamani
Kiasi kwamba akianza kuongea huwa nakwepesha sura kukwepa harufu ya mdomo wake hata kukiss huwa napata kichefuchefu nikitoka nalamba ndimu na yeye anapenda kulambana lambana inanikata kwakweli
Nataka Dawa ya kumsaidia sitaki kumuacha
π π π π π πKwa hiyo bwashee unabugia mapupu live?
Ndo uje kumtangaza huku?Jamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume