Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

Inawezekana kabisa mrembo,

As long as unaelewa kwanini unapewa, ukichukua timiza wajibu wako la hasha unaangukia kwenye wale wa kusubiri 40 zao.

Humu duniani kuna watu mara kibao wanachukua vitu vya wengine bila kulipia. Wanaitwa wezi, matapeli, warushi, vibaka n.k huwa wakifika 40 yao wanatia huruma kweli.
 
Back
Top Bottom