Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshatumika sana,umechakaa,uolewe sasaTRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana...
Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni just kushare experience na tufurahi so please.🙏🏾
Sasa issue inakuja, sijui tuite wanatanguliza sana MATERIAL THINGS than utu ili tu kuwin situation chapchap au la, ila me nipo tofauti kiasi, mtu akijishape sana na material things najawa hofu ya kuwa nae I'm like why all these things to me (sijui ndio pepo la umasikini) japo na ujinga wangu NAPOKEA (of course yes napokea, vya maana tu) ila kuna hali ya kufeel mahaba juu yake inatoweka so nakuwa empty crate. inafika kipindi wanakata tamaaa wanaishia zao na wengine wanakuwa marafiki tu tunapeana michongo kulingana na uwezo wao.
Kwa uwazi tu niambieni nawezaje skip hizi mitego za kupokea GIFTS and LITE material kutoka kwa hawa watu bila kukubali kulala nao na wasinidhuru hapo baadae, au ndio what's goes around comes around😭😭.... NAOGOPA
Life begins at 40, huo umri ndo wengi wameshajipata na wanaweza kuendesha maisha ya kifamilia comfortably, ndo maana wana uwezo wa kukupa hizo zawadi.Oh okay sorry
TOTO Chakudeka, aka Mummy; naomba uniweke na mimi kwenye hiyo orodha yako. Mimi pia ni Mr. Material Things Provider, kwa watoto wazuri na wabichi kama wewe na mwenzako SweetyCandy.TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana...
Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni just kushare experience na tufurahi so please.🙏🏾
Sasa issue inakuja, sijui tuite wanatanguliza sana MATERIAL THINGS than utu ili tu kuwin situation chapchap au la, ila me nipo tofauti kiasi, mtu akijishape sana na material things najawa hofu ya kuwa nae I'm like why all these things to me (sijui ndio pepo la umasikini) japo na ujinga wangu NAPOKEA (of course yes napokea, vya maana tu) ila kuna hali ya kufeel mahaba juu yake inatoweka so nakuwa empty crate. inafika kipindi wanakata tamaaa wanaishia zao na wengine wanakuwa marafiki tu tunapeana michongo kulingana na uwezo wao.
Kwa uwazi tu niambieni nawezaje skip hizi mitego za kupokea GIFTS and LITE material kutoka kwa hawa watu bila kukubali kulala nao na wasinidhuru hapo baadae, au ndio what's goes around comes around😭😭.... NAOGOPA
Amepata uzoefu hajachakaa.Hata akihitaji ajira anapata bila nongwa.Umeshatumika sana,umechakaa,uolewe sasa
Haha Dady eeh, labda SweetyCandy itafaaTOTO Chakudeka, aka Mummy; naomba uniweke na mimi kwenye hiyo orodha yako. Mimi pia ni Mr. Material Things Provider, kwa watoto wazuri na wabichi kama wewe na mwenzako SweetyCandy.
Mimi nawataka wote eti 😇Haha Dady eeh, labda SweetyCandy itafaa
Swali fupi, limejitoshelezaUnauza, Hauuzi???
Wee jamaa huko kigamboni visima wanachimba bei ga i?Ni muda sasa utulie na kutafuta anae kufaa au kama vipi mie nipo hapa tajiri kutoka kigamboni 😎
NDIO
Nije pm?Mhuu
Nina accessories kama hizo pale nyumbani. Sina wakumpa, neno moja tu zinakua zako.Para ya pili umeisoma kweli au uchokozi wenu sasa😌
realMamy , kwa hio profile pic siwezi kuishi bila wewe 😁😁Mwachiluwi mtu mbadi 😜😅