Nakupendaga bure tu we mubintiAsome Zaburi ya 51 kwa kumaanisha, na Kisha aombe tu kwa kusema Yesu naomba Toba na Rehema kwa kuwa nilikuwa nafanya anataja ... naomba unirehemu maana neno lako linasema katika 1wakorintho 6:9 kuwa wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu naomba Leo unirehemu Mimi na kizazi changu utuondolee uovu huu, ututakase kwa damu yako...
Aombe mpaka apate amani moyoni...
Kwa muendelezo Kila siku
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia....japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.
Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.
Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.
Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu.
Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu
Shida inakuja hv, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana.
Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha,atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.
Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo...(hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo)
Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume?
Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
mwanaume anakugandaje kama Luba kwa mfano, sema tu labda bado na wewe una chembe za upendo ndani yako,naamini moyo ukisema STOP hata ugande vipi haiwezi kubadilika.Naona ushauri mwingi ni wa kumkimbia huyo mwamba, hivi mnajua wanaume wanaojua kuganda kama luba...
Sasa ndo huyo mwamba, atamfuata popote alipo...
Amezoea ndio ila anataka kuacha jamani mbona mnamhukumu...Ameshazoea.....
Duh na wewe una confess kwenye uzi wa mwenako? Siuanzishe wako tu.ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
Unafukua makaburi [emoji1787][emoji1787]
Hajahukumiwa..ni maelezo yakeAmezoea ndio ila anataka kuacha jamani mbona mnamhukumu...
hako ni kakongwe kabibi kana tuchora tuu na chai yakeMiaka 8 iliyopiga ulikuwa na miaka 55 hii Ina maana kuwa sahivi una miaka 63-64 Bibi embu nenda taratibu mbn tu naelewa tuView attachment 2815461
Mmmh🤔🤔🤔Miaka 8 iliyopiga ulikuwa na miaka 55 hii Ina maana kuwa sahivi una miaka 63-64 Bibi embu nenda taratibu mbn tu naelewa tuView attachment 2815461
sijafukua nimekumbuka tu Leo katika historiaUnafukua makaburi [emoji1787][emoji1787]
Hii ndio JF bana..
Aende sober house
Kwa hiyo akikuganda kama ruba hapo hapo wakati una mkataa utakuwa unaendelea kumpa nyuma?Naona ushauri mwingi ni wa kumkimbia huyo mwamba, hivi mnajua wanaume wanaojua kuganda kama luba...
Sasa ndo huyo mwamba, atamfuata popote alipo...
huyu kuacha ni uongooo wenye shuhuda wanakwambia ngumu mnoo kuacha huyu hapa anaweza fatwa pm na memba akaendeleza gameHaya mambo ni magumu sana, Tatizo lipo hivi;
Anaweza akaachana na huyo mwanaume, then baada ya lets say mwaka mmoja, akapata mwanaume mwingine ambaye hajui A wala B kwamba mwenzake alikuwa na michezo ya kurukwa ukuta, mwanaume akatangaza ndoa akamuoa na kumfanya kuwa mwanamke wake wa heshima zote, shida inakuja huyu huyu bidada ambaye sasa hivi analalamika ubabe, ataanza kuwaza jamaa aliyemuoa hayuko romantic, mwishowe ataanza kurudi na kuchepuka kule kule kwa jamaa yake akazibuliwe tena mtaro, na kuanza kumdharau aliyemuoa, hawa wanawake aisee, wanaume wenzangu tuendelee kuishi nao kwa akili tu!
Kupambana naye kiume? Kivipi yani?Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia....japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.
Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.
Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.
Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu.
Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu
Shida inakuja hv, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana.
Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha,atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.
Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo...(hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo)
Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume?
Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
Katoe iyo mitako mikubwa ya mloganzila atabadilika mwenyew hatatamani tena uo ufuskaHabari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.