ukimshtaki unaenda Kushinda mapema sana...
Lakini kwanini umshtaki??
Sikuungi mkono eneo hilo huo ni uoneaji maana wewe n mtu mzima tangu mwanzo ulimkubalia mwenyewe mkawa mnafanya kwa raha na wote mkawa mnaburudika
umekuja saivi umebadilika umesaliti chama unataka mwenzako apotezwe mvua nyingi jela, sio sawa.
Wewe tamu ulikua unaipata saivi umeikataa basi fungasha kilicho chako Sepa.. atakuharibiaje mahusiano ya kila unapoenda yani HOW??
Njoo date na mimi halafu mpennamba zangu nione atavyoharibu mahusiano yangu na wewe, ni jambo Halipo na haliwezekani.
Achana nae Fanya maisha yako,simlaumu mwanaume ila nakulaumu wewe uliekubali tangu mwanzo saivi unabadilika unataka kugeuza burudani mlokua mnaipata wote iwe adhabu...
Mkiwa hamtaki kutoa Tigo mseme hamtaki sio mnabadilika kama vinyonga...
Ushauri : Sepa anza mahusiano yako huko kwingine,Muache mpenzi wako atafute atae mpa HALOTEL aendelee na u sodoma wake.