Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Yaani Open school nashindwa cha kumshauri huyu mdau mwenzangu maana sie wanawake unaweza ukatereza na kuangukia popote.
Ila cha muhimu ni kuhama mkoa au kumfanya msukule huyo mwanaume ili asimsumbue.
Au Evelyn Salt unamshauri nini?
Ila lingekuwa lile jukwaa letu pendwa JLW (r.i.p) tungejua cha kumshauri.
Mdau mwenzako🤣🤣
Umepotea sana madame B
 
nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha
ukimshtaki unaenda Kushinda mapema sana...

Lakini kwanini umshtaki??

Sikuungi mkono eneo hilo huo ni uoneaji maana wewe n mtu mzima tangu mwanzo ulimkubalia mwenyewe mkawa mnafanya kwa raha na wote mkawa mnaburudika

umekuja saivi umebadilika umesaliti chama unataka mwenzako apotezwe mvua nyingi jela, sio sawa.

Wewe tamu ulikua unaipata saivi umeikataa basi fungasha kilicho chako Sepa.. atakuharibiaje mahusiano ya kila unapoenda yani HOW??

Njoo date na mimi halafu mpennamba zangu nione atavyoharibu mahusiano yangu na wewe, ni jambo Halipo na haliwezekani.

Achana nae Fanya maisha yako,simlaumu mwanaume ila nakulaumu wewe uliekubali tangu mwanzo saivi unabadilika unataka kugeuza burudani mlokua mnaipata wote iwe adhabu...

Mkiwa hamtaki kutoa Tigo mseme hamtaki sio mnabadilika kama vinyonga...

Ushauri : Sepa anza mahusiano yako huko kwingine,Muache mpenzi wako atafute atae mpa HALOTEL aendelee na u sodoma wake.
 
Shame on you

I hope unaeza toa same advice to your sisters and daughters
 
Haya mambo ni magumu sana, Tatizo lipo hivi;
Anaweza akaachana na huyo mwanaume, then baada ya lets say mwaka mmoja, akapata mwanaume mwingine ambaye hajui A wala B kwamba mwenzake alikuwa na michezo ya kurukwa ukuta, mwanaume akatangaza ndoa akamuoa na kumfanya kuwa mwanamke wake wa heshima zote, shida inakuja huyu huyu bidada ambaye sasa hivi analalamika ubabe, ataanza kuwaza jamaa aliyemuoa hayuko romantic, mwishowe ataanza kurudi na kuchepuka kule kule kwa jamaa yake akazibuliwe tena mtaro, na kuanza kumdharau aliyemuoa, hawa wanawake aisee, wanaume wenzangu tuendelee kuishi nao kwa akili tu!
 
Yaani Open school nashindwa cha kumshauri huyu mdau mwenzangu maana sie wanawake unaweza ukatereza na kuangukia popote.
Ila cha muhimu ni kuhama mkoa au kumfanya msukule huyo mwanaume ili asimsumbue.
Au Evelyn Salt unamshauri nini?
Ila lingekuwa lile jukwaa letu pendwa JLW (r.i.p) tungejua cha kumshauri.
Kula donati kula donati
 
Asome Zaburi ya 51 kwa kumaanisha, na Kisha aombe tu kwa kusema Yesu naomba Toba na Rehema kwa kuwa nilikuwa nafanya anataja ... naomba unirehemu maana neno lako linasema katika 1wakorintho 6:9 kuwa wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu naomba Leo unirehemu Mimi na kizazi changu utuondolee uovu huu, ututakase kwa damu yako...

Aombe mpaka apate amani moyoni...

Kwa muendelezo Kila siku
Toba atasamehewa ila huyo kinachompa hofu ni connection jamaa akizimwaga mtandaoni ni balaa .

Mpaka hapo kashajutia dhambi ila yale malipo ya hapa hapa duniani ndio yanamuandama ,kama ikitokea jamaa akasambaza ndio atavuna hapa duniani alichopanda.
 
Back
Top Bottom