Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

Muwe wote mna vibunda so wengine muwageuze machawa wenu
 
Naam evelyn , binadamu pamoja na ubifsi tulio nao laiki hatujali haswa hisia za mtu, unaweza kuingia sehemu ilibupate faraja badala yake unapata frustrations na stress, heri ubaki mpweke.
Ila pia usikose kote kote, ukishindwa kijamii jiweke kwenye kikundi cha maokoto tu.... Hakuna kufatana wala kujuana. (Vinakuaga na msaada sana)
 
Ni cha wanawake tu labda
Ndio cha wanawake tu! Ila humo wote tuko serious na tunachokifanya. Kuna mtoto wa sister nakaa naye alipata komunio iliwekwa kamati km ya harusi na sikutoa mia yangu na nilipewa pesa zile chenchi zinazobaki kwenye kamati na zile za kutunzwa acha kabisaa!!
Sijutii kuwa na familia km ile ya…….!!!
Ukitokea msiba hata km kwenu mbali kiasi gani tunaenda
 
Ili brotherhood iwe imara, iwe tu na waanaume pekee, wanawake kuchafua hali ya hewa ni dakika chache sana.....

Ikishakua imara, wake zenu nao mnawakutanisha wanakua na ka umoja kao pia inapendeza.
 
Heri ndugu yangu , ni mara chache sana kukutana na vikundi namna hio, ukiona au kusikia kinachopokea wanaume usisite kunijulisha naomba.
 
Hizi sie wachache wanaoweza, tuna mambo mengi sie
Mi nina kikundi kimoja cha kanisani cha wamama cha kusaidiana
Kwa kweli ni kizuri ni kama kikoba ila hakijakaa hivyo
Tunakutana mara moja kwa mwezi
Kina benefits nyingi sana
Mim sasa hivi nataka cha wafanya biashara sema nini uaminifu ndo naogopa
Haswa kikihusisha ela
Unamjua panda source?
Walizumianaga almost mil90
Wakamlipa lipa akaja akabaki anadai mil 90
Cha wafanya biashara wa china hicho
Kawachangia wenzie akawa wa mwisho kuja mzunguko wake wa mwisho hawataki kutoa ela mtu alikua anakunja 90M
 
Heri ndugu yangu , ni mara chache sana kukutana na vikundi namna hio, ukiona au kusikia kinachopokea wanaume usisite kunijulisha naomba.
Tatizo hivi ni vya wafanyabiashara tu! Kimoja ni mchanganyiko ila kiingilio kikubwa million 20 na mpk wakupitishe wakuchunguze sana.!!
 
Ili brotherhood iwe imara, iwe tu na waanaume pekee, wanawake kuchafua hali ya hewa ni dakika chache sana.....

Ikishakua imara, wake zenu nao mnawakutanisha wanakua na ka umoja kao pia inapendeza.
Hapana sio wote wanawake wanashida , ni wachache sana ila shida zao ndio zinafanya wanawake wengi waonekane changamoto, ukipata sehemu sahihi wakiwa wengi sahihi, wachache wabaya watakao ingia mnaweza kuwatoa.
 
Mimi hivyo napendaga niwe wa kwanza sitaki utani na pesa kabisaaa!!!
 
Tatizo hivi ni vya wafanyabiashara tu! Kimoja ni mchanganyiko ila kiingilio kikubwa million 20 na mpk wakupitishe wakuchunguze sana.!!
Sema cha matajiri bwana, mtu mwenye biashara ya mtaji w milioni tano kushuka chini kwake si changamoto sana.
 
Doh pole zake, uaminifu ni changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…