Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

Sema cha matajiri bwana, mtu mwenye biashara ya mtaji w milioni tano kushuka chini kwake si changamoto sana.
Lakini hiko ukiingia unakopa na pesa mpk million 100 kawaida. Ila kukuingiza ndio utasubiri. Kila mwisho wa mwaka tunapeanaga pesa za sikukuu kila mmoja anakunja m 2 za kuku. Hizo zinakuwa faida tu.
 
Walao wakina mama wako na groups zinazowanyanyua kwa namna moja ama nyingine tofauti na wanaume, sisi tumeshazoea kupabana wenywe japo tunafanikiwa kwa jasho na dmu nyingi lakini kungekwa na groups kama kwa wenzetu walao tungepungukiwa ugumu wa kufanikiwa, wazo la mleta mada ni nzuri liangaliwe kwa jicho la kipekee
 
Lakini hiko ukiingia unakopa na pesa mpk million 100 kawaida. Ila kukuingiza ndio utasubiri. Kila mwisho wa mwaka tunapeanaga pesa za sikukuu kila mmoja anakunja m 2 za kuku. Hizo zinakuwa faida tu.
Ni vizuri na ni kizuri sana, kina usajili wowote labda ili kama ikitokea sintofahamu kuna sehemu mnaweza kwenda kupata msaada wa kisheri
 
Asee mkuu pata soda popote pae nakuja kulipia actually hojaa imejaa sanaa Naungaa mkono pamoja na miguuu
 
Sure kwetu wanaume ni ngumu mno, walao kwenu, sisi na magroup si marafiki kabisa ikizingatiwa muda wetu sio rafiki sana
Wanaume haya maswala wengi wazinguaji, hiki cha kazini wanaume walifutiliwa mbali wakopaji wazuri halafu hawalipi.
 
Ni hatari kuhusisha familia kwenye hayo mabrotherhood
Hatari yake ni nini???
Kuna brotherhood huwa ina family day once per year, kila mtu anakuja na mke na watoto woteeee.

Ina zaidi ya miaka 10 sasa hebu nipe hasara zake nikatoe ushauri ivunjwe.
 
Hatari yake ni nini???
Kuna brotherhood huwa ina family day once per year, kila mtu anakuja na mke na watoto woteeee.

Ina zaidi ya miaka 10 sasa hebu nipe hasara zake nikatoe ushauri ivunjwe.
Kwa kizazi Cha Sasa kinaenda kuharibika na maadili yanashuka sana hasa kwenye masuala ya uzinzi lakini kama mmekutana wote mnamaadili yanayofanana sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…