Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mmmh labda kama ni kikundi cha wahuni tu sio real brotherhoodKwa kizazi Cha Sasa kinaenda kuharibika na maadili yanashuka sana hasa kwenye masuala ya uzinzi lakini kama mmekutana wote mnamaadili yanayofanana sio mbaya
Sure kupata wanaume zaidi 40 harafu wote muwe na maadili na nidhamu ni issue sanaMmmh labda kama ni kikundi cha wahuni tu sio real brotherhood
40 wengi mno, muunde tu team ya mpiraSure kupata wanaume zaidi 40 harafu wote muwe na maadili na nidhamu ni issue sana
Labda muwe walau 4 ndo mnaweza kuwa real brotherhood40 wengi mno, muunde tu team ya mpira
Reasonable namba tu, 4-20 isizidi hapoLabda muwe walau 4 ndo mnaweza kuwa real brotherhood
Apo nimetisha wap mkuu? Au unafikiri neno kafara nilazima lihusishe maimani ya kishamba ya kichawi?Acha kutisha wenzio, hizo nadharia tu 😂😂
Nikweli hatuma ule uminifu kwenye heka kama walio nao wanawake, wanawake wakiwa wanadaiwa wako tayari kutia sadaka chochote ilimradi walipe deni, mwnaume kudaiwa ni sehemu ya maisha na anajua deni haliui na halifugi.Wanaume haya maswala wengi wazinguaji, hiki cha kazini wanaume walifutiliwa mbali wakopaji wazuri halafu hawalipi.
Majaribio mengi yamefanyika mwengine yameambulia kutengeneza uadui.Kwanini iwe ngumu? Si mnajiorganize hapo kazini….
Deni halifungi 🤣🤣🤣 unarelax tu na pesa ya watu.Nikweli hatuma ule uminifu kwenye heka kama walio nao wanawake, wanawake wakiwa wanadaiwa wako tayari kutia sadaka chochote ilimradi walipe deni, mwnaume kudaiwa ni sehemu ya maisha na anajua deni haliui na halifugi.
Ohh!Kina usajili na kina acc ya bank ila kina ukabila, kimejaa wakinga.
Nchi yako yenyewe ina relax na pesa za watu ,kila siku kuongeza madeniDeni halifungi 🤣🤣🤣 unarelax tu na pesa ya watu.
Mambo ya pesa hayo, kuna watu sio waaminifu kabisaa!! Michezo mikubwa km hiyo unatakiwa uwe wa kwanza ili likitokea la kutokea haikutoi mchezoni.!Dah yule dada walimrudisha nyuma looh
Linaweza kukufunga lakini kifungo dhaifu tuDeni halifungi 🤣🤣🤣 unarelax tu na pesa ya watu.
Hili pia ni jambo la kuzingatia unapotaka kujoin hizo mambo, LENGO hasa la kutaka kikundi ni nini?Binafsi sisi tumeanzisha brother Hood yetu yakulewa na kupiga mitungi ,mambo ya pesa kila mtu akafie mbelembele .
Sister hood ila wadhamini wa kuu ni sisi hatuepukiki mkuu😁😁WADADA MASHANGAZI WANAWAKE tukutane SISTER HOOD📌
🤣🤣🤣
Masponser mnakaribishwa 🤣Sister hood ila wadhamini wa kuu ni sisi hatuepukiki mkuu😁😁
Mambo ya kifedha bora ninunue hisa kwenye makampuni yanayoeleweka mkuu😅Hili pia ni jambo la kuzingatia unapotaka kujoin hizo mambo, LENGO hasa la kutaka kikundi ni nini?
Mambo ya kijamii
Mambo ya Kifedha
Kampani ya out na kulewa
N.k