Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Ahsante ,ninavyowaza kinahitaji pesa nyingi hebu nipe msaadaWewe unapendelea kufanya kitu gani?
Wazo la kupewa ni zuri lakini ikiwa sio kitu unachopenda hakitafika mbali!
Ungeweka mawazo yako, mapendekezo yako watu wakushauri kupitia uzoefu wao.
Anza kwa kuuza vitu vya kike kwa kutembeza,kwa wanawake wenzioShikamoon wakubwa
Mwishoni mwa mwaka Jana niliweka mipango yangu kuwa ifikapo tarehe 5 Mwezi wa Kwanza niwe nimeshalipa chumba changu,ikiwa ni njia ya kujitegemea, wazazi wangu ,haswa mama hakupenda kabisa nihame nyumbani huku akiniasa ikiwa maisha ni magumu nirudi.
Mmmh ,nikalipa chumba miez mi3 maeneo ya jirani na nyumbani,
Huku nikijipanga namna nyingine,
Kilichonikwamisha ni vibarua vya hapa na pale,wengi ni wanalipa miezi miwili ya mwanzo kunakoelekea ni Kesho keshokutwa kitu ambacho sikupenda.
Sasa nahitaji mnipe aidia ya biashara ,mama kasema atanipa kiasi kisichopungua milion moja na nusu nikijiongeza naweza tengeneza kitu ,
Jamani Mimi sijiuz,sihitaji bwana wala Nani ,komenti yako iwe inahusu maisha.
Asanteni
Asante wazo zuri❤️Anza kwa kuuza vitu vya kike kwa kutembeza,kwa wanawake wenzio
AmenKwan kaz ni pumzi adi ushindwe ishi
Utaishi tu kama unavyo ishi sku zote
Sema amen
Tabata kinyereziBiashara ndogo ndogo inategemea na eneo husika,hujasema unaishi wapi.
Anza na chupi na bra za kikeAsante wazo zuri❤️
Naunga mkono hoja...😋Anza na chupi na bra za kike
Huduma hii kwaajili ya akina nani. Huyu ni wakike na wanawake hupenda kuhudumiwa kucha na wanaume na wanaenjoy kweli.Fungua frem Anza kusafisha na kupaka kuja rangi then njoo na mrejesho
Toa idea kakaDahhhh nimejikuta nawaza mbali sana.....🙄