Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #21
Asante sanaKama upo nje ya mkoa ambao mazao ya ziwani ni magumu kupatkna, basi hyo millioni moja ni hela nzuri kuanza biashara za dagaa, hususani uwe unatoa kule mwanza unapeleka unakodhani ni pazuri
-dagaa za mwanza hazijawahi kukataa popote
upo dsm ama wap mbn fursa zipo kibao
MmmhKama upo single, Na mimi nipo single, njoo inbox tujadili tunapambana vipi na haya maisha.
Olewa tu kwanini uhangaike hivi utakula bure utavishwa bure
Tupe kwanza uzoefu wa kazi ulizowahi kufan
Hii ya dagaa kama utahitaji kufanya, fanya hivi, nunua wale dagaa wa mafuta PURE namaanisha wale waliokaangwa wakiwa wabichi kabisa, then funga kwenye package kadiri utaona inafaa, zunguka mashuleni, supermarket peleka mzigo, lakini pia tafuta connection na manesi mahospitalini ndio mboga zao hizo, ukitumia laki 3 Kwa kuchukua mzigo lazima upate faida ya 50 Hadi elfu 70, hivyo upatikanaji wa dagaa na namna utaagiza mara nyingi ndivyo utapata faida nyingi/kubwa Kwa mwezi, ukihitaji mtu wa kukutengenezea dagaa nzuri inayojiuza sokoni niambie nitakuunganishaKama upo nje ya mkoa ambao mazao ya ziwani ni magumu kupatkna, basi hyo millioni moja ni hela nzuri kuanza biashara za dagaa, hususani uwe unatoa kule mwanza unapeleka unakodhani ni pazuri
-dagaa za mwanza hazijawahi kukataa popote
Ahsante sana,hii inakuja akiliniHii ya dagaa kama utahitaji kufanya, fanya hivi, nunua wale dagaa wa mafuta PURE namaanisha wale waliokaangwa wakiwa wabichi kabisa, then funga kwenye package kadiri utaona inafaa, zunguka mashuleni, supermarket peleka mzigo, lakini pia tafuta connection na manesi mahospitalini ndio mboga zao hizo, ukitumia laki 3 Kwa kuchukua mzigo lazima upate faida ya 50 Hadi elfu 70, hivyo upatikanaji wa dagaa na namna utaagiza mara nyingi ndivyo utapata faida nyingi/kubwa Kwa mwezi, ukihitaji mtu wa kukutengenezea dagaa nzuri inayojiuza sokoni niambie nitakuunganisha
Yeye huyu mtu anachofanya ni anaenda asubui kukununulia dagaa Kwa wenye mitumbwi, then anakukaangia, halafu akimaliza anapiga hesabu zotee zilizotumika kuanzia kununua Hadi kukaanga then unalipia anakutumia mzigo wako
Nimechoka ku type, ila najua mengi kuhusu hii biashara maana ninaifanya, ukihitaji kuuliza chochote karibu uliza hapa hapa nitakujibu
NB: Ukipata wateja wa hii kitu hutokuja kuwaza stress ya pesa,
KaribuAhsante sana,hii inakuja akilini
Mbona mimi nimefungua na nilianza kazi mwenyewe wakapenda! Wadada wengi sana sikuhizi wanafanya tena wenyewe tu!Huduma hii kwaajili ya akina nani. Huyu ni wakike na wanawake hupenda kuhudumiwa kucha na wanaume na wanaenjoy kweli.
Sasa kwakua tayari una uzoefu kupitia duka ulilokua ukiuza, chukua hiyo hela alafu tafuta sehemu nzuri yenye walaji wengi ukodi frem hata ya Tsh 50,000 kwa mwezi, piga shelfu za kawaida alafu tengeneza kichanja cha ndani kwa ndani kijanja alafu jaza matunda na viungo.Kuuza duka Kwa mtu
Hyo biashara hata mm naijua mnoKaribu
Uko Mkoa/Wilaya/Mji/Tarafa/Kata/Kijiji/Mtaa gani hapa nchini. Nilitaka kuja huko uliko ili nikupatie ushauri mzuri wa ana kwa ana.Shikamoon wakubwa
Mwishoni mwa mwaka Jana niliweka mipango yangu kuwa ifikapo tarehe 5 Mwezi wa Kwanza niwe nimeshalipa chumba changu,ikiwa ni njia ya kujitegemea, wazazi wangu ,haswa mama hakupenda kabisa nihame nyumbani huku akiniasa ikiwa maisha ni magumu nirudi.
Mmmh ,nikalipa chumba miez mi3 maeneo ya jirani na nyumbani,
Huku nikijipanga namna nyingine,
Kilichonikwamisha ni vibarua vya hapa na pale,wengi ni wanalipa miezi miwili ya mwanzo kunakoelekea ni Kesho keshokutwa kitu ambacho sikupenda.
Sasa nahitaji mnipe aidia ya biashara ,mama kasema atanipa kiasi kisichopungua milion moja na nusu nikijiongeza naweza tengeneza kitu ,
Jamani Mimi sijiuz,sihitaji bwana wala Nani ,komenti yako iwe inahusu maisha.
Asanteni
Wanawake hawajawahi kuchagua huduma inatoka kwa nani as long as wanahudumiwa vizuri. Mie nawajua kuna baadhi ya wadada wanafanya hii na wanapata kipato.Huduma hii kwaajili ya akina nani. Huyu ni wakike na wanawake hupenda kuhudumiwa kucha na wanaume na wanaenjoy kweli.
Unauhakika ni wengi kuliko wale wanaopenda kuhudumiwa na wanaume?Mbona mimi nimefungua na nilianza kazi mwenyewe wakapenda! Wadada wengi sana sikuhizi wanafanya tena wenyewe tu!