Nawezaje kuishi bila kazi yeyote, tusaidiane

Sikumbuki kusema hatapata kipato, frequency ya in and out za wateja.
 
Wewe binafsi ukijitathmini unaona ni biashara gani unaweza kupambana nayo una interest nayo... Kuliko kuambiwa tu hapa kafanye hiki, kumbe wala hujawahi kuwa na interest hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…