Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Sasa kuna mtu hapa duniani hanndhambi? Hadi ukamuamini aomgee na Mungu direct kama si wehu
Sijasema kwamba kuna watu hawana dhambi

Kuna Watu hufanya toba ya kweli na sio ya kihuni
Bhn mimi Nimechokaa ku type
 
Pole sana.titazo lako inaonyesha ulipenda kupitiliza ndio maana hiyo hali kukuisha ni ngumu sana .na dawa yake umpate mwanaume wa kukupeti (kukupenda kupitiliza) kiasi kwamba usahau yule marehemu.hapo wala auhitaji maombi ni kumwomba tuu mungu akupe wa kukupenda
 
Asa
Asante mkuu
 
Yaan wewe shukuru mungu huyo mtu amefariki, angekucheat ukiwa hai ungejinyonga

Mtu unaona kaburi lake bado unaumia eti mpenzi anakuuma

Acha hayo mambo, ukifika 30 utapona mwenyewe
 
Sadaka huweka mtu huru dhidi ya uraibu au machungu fulani!

Toa sadaka kwa hao waombaji na taasisi zao!ukiwa peke Yako chumbani mwambie kwamba "Kwa sadaka Ile ya sh ..... Kadhaa naomba unisaidie moja ,mbili,tati"SEMA ukimaanisha utapata amani pia mwenza utapata!!
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…