Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Kwani madam wewe mtu seriously si unamjua mkiwa kwenye mahusiano sasa kama mtu alikuwa ananifanyia vile nitamuhesabu kuwa alikuwa seriously

Huyu ninaemzungumzia hapa alikuwa ni officially na tulishakaa zaidi ya Miaka 2
Kwa kusema hivyo ndio mahusiano seriously niliyo wahi kuhusiana
Tatizo kadogoo unatuchanganya ungekua unapanga km episode ili tutofautishe..!!

Sasa huyu wa ss hivi anaeleweka au naye wa simu 2000 😹
 
Tatizo kadogoo unatuchanganya ungekua unapanga km episode ili tutofautishe..!!

Sasa huyu wa ss hivi anaeleweka au naye wa simu 2000 😹
Huyu wa sasa hivi sasa anaeleweka yaani anataka kumfikia ex marehemu hana shida yoyote mimi tu ndio na matatizo yangu
Unajua ukikosa upendo kwa muda mrefu ukija mpata mwenye upendo unaona ni kama tapeli
Basi ndio hivyo.. kwa sasa hana shida yoyote ya mbeleni sifahamu tuombee mema tu
 
Katika mpango wa Mungu huyo hakuwa mmeo mtarajiwa!
Wa kwako aliyeandaliwa na Mungu anakuja.
Unachotakiwa badala ya kusononeka,kuhuzunika,mwambie Mungu asante kwa Yote,mshukuru kwa kumwambia asante kwa sababu unaniletea Mme wangu wa maisha.
Ukimaliza hapo Mngoje Mungu akuletee huyo Mmeo mtarajiwa wa maisha.
Usianze kutangatanga ovyo,vinginevyo utakutana na agent wa Ibilisi atakutia mimba na kukutelekeza!
Hapo ndipo utakuwa umezuia Mpango wa Mungu usitimie!
 
Lakini kuna vinginee mkuu siwezi kumpa mwingine avae mfano vyupi shanga na nk si lazima nichome moto
ndio maana nimesema mapema,
vile ambavyo vinafaa kutumika wapatie wahitaji, hivyo vingine ni vya kuteketeza kabisaa ilimrada visiwepo tena kwenye upeo wa macho na fikra zako,
na bilashaka yoyote hiyo roho itakua imekuachia na kutoweka kabisaa nafsini mwako na kwakweli utakua kiumbe kipya, ya kale yote yakua yamepita na tazama yatakua mapya,

Be blessed my lady 🐒
 
Katika mpango wa Mungu huyo hakuwa mmeo mtarajiwa!
Wa kwako aliyeandaliwa na Mungu anakuja.
Unachotakiwa badala ya kusononeka,kuhuzunika,mwambie Mungu asante kwa Yote,mshukuru kwa kumwambia asante kwa sababu unaniketea Mme wangu wa maisha.
Ukimaliza hapo Mngoje Mungu akuletee huyo Mmeo mtarajiwa wa maisha.
Amen Asante
 
ndio maana nimesema mapema,
vile ambavyo vinafaa kutumika wapatie wahitaji, hivyo vingine ni vya kuteketeza kabisaa ilimrada visiwepo tena kwenye upeo wa macho na fikra zako,
na bilashaka yoyote hiyo roho itakua imekuachia na kutoweka kabisaa nafsini mwako na kwakweli utakua kiumbe kipya, ya kale yote yakua yamepita na tazama yatakua mapya,

Be blessed my lady 🐒
Amen Asante sana
 
Una wazazi?
Sungumza nao... Kama kuna wanacho kijua kuhusiana na jambo lako watakwambia... matatizo mengine yaaweza kuwa yapo kwenye familia...maagano ya wazazi au mababu halafu mnakuja kuyabeba bila kujua....

Familiar ya alie fariki unaifahamu vizuri? Au inaweza kuwa ni siku yake tu imefika akaondoka.....usibebe mizigo usiyo na uwezo nayo...utajiumiza na kufa kabla ya muda....
 
Back
Top Bottom