Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Sijui unazungumza nini nafikiri unafikiri nipo kimdhaa hapa
Tatizo unasoma kwa mihemko ndio maana tuna kinzana kama umeelewa nimeelezea kuwa ni miaka imepita

Ina maana mzizi wa story zote nazoleta humu chanzo chake ni Hii story ya Leo

Na ulipouliza hatujaachana nimeshangaa maana ninaemzungumzia hapa ni marehemu sijajua wewe una maanisha nini
Lamomy 😹😹😹🙌🏾 ananifokea mm uku
 
Ila yote tisa
Kwenye masalia ya Mungu umenimaliza shogaangu!

Haki vile mi Mbinguni sitoboi, kuna masalia ya Mungu duniani na siyajui, ah weeeeh! haaata daladala la mbingu sipandi hata wakinilipia nauli, sTEEENDI YA KWENDA MBINGUNI sitaiona!
Weeeee, sijui jambo hili mpk umri hhu, we sitoboiiiiii!
ni motoni direct! KHAAAA!

Duuh sijajua wewe umenielewaje madam nilipotumia hilo neno masalia

Nilichomaanisha ni hivi

Pamoja na kuwa dunia imechafukwa watu wana hasi manabii wa uongo wamejaa lakini bado Mungu ameacha Watu wake wamtangaze kwa kweli ya Kimungu yaani pamoja na kujaa utapeli mwingi wa kiimani lakini bado kuna watu Mungu anawatumia watu wanao hubiri injili ya kweli ya Mungu bila kumuhusisha Mungu na ushirikina wowote ndio hao mimi nimetumia neno Masalia
 
Sijui unazungumza nini nafikiri unafikiri nipo kimdhaa hapa
Tatizo unasoma kwa mihemko ndio maana tuna kinzana kama umeelewa nimeelezea kuwa ni miaka imepita

Ina maana mzizi wa story zote nazoleta humu chanzo chake ni Hii story ya Leo

Na ulipouliza hatujaachana nimeshangaa maana ninaemzungumzia hapa ni marehemu sijajua wewe una maanisha nini
Mai dear from another mother yaan tunamjua aliefariki na ambae hakuhudumii so nikauliza sababu ni mada ya Leo nimeshangaa ulisema mtaachana kisa hakujali sasa ya Leo m nimeuliza tu sio ugomvi asee 💔
 
Hila Hakuna mahali nimemzungumzia huyo ambae hani hudumii madam

Kama ume note hapo kuna mahali nimesema nimepitia changamoto za kuachwa achwa na hao nilioachwa nao ndio nimesema changamoto

Huyo wa miezi 5 fuatilia uzi wake niliuweka nafikirii niliuliza mwanaume anapaswa kukupeleka kwake baada ya muda ganii.. niliokuwa namzungumzia ndio nipo nae kwa sasa
 
Back
Top Bottom