Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Pole sana binti, ushauri wangu, wala usiwe na wasi wasi kila kitu hupangwa na Mungu. nina tukio kama hili exactly, na mwisho wake huyu binti alipata mume safi tu , mpaka leo wanaishi vizuri kabisa. tofauti na wewe huyu aliachiwa mtoto kabisa. Sasa fikiria.
Amen
 
Polee sanaa, hii hali ilinikuta mie kipindi fulani.
Nilikua na mtu, yule wa kushibana nae, kwa kifupi alifanya nione dunia nyepesi kwa upande fulani, kunisaidia kwa hali na mali, sijui nielezeje. Hatukua na mahusiano ya kimapenzi, ila mie nilikua na hisia nae, ile kumfungukia ndo nilishindwa.

Alikufa kwa ajari ya piki piki, kile kifo chake kilinitia kiwewe, yaan nlikua napitia wakati mgumu hatari, shida wa kumueleza situation ile na akaelewa, sikumuona.

Baadae niliamua kuwa wazi juu yangu, ku ukubali ukweli na kuacha maisha yaendelee.
Nilipona kwa kiasi chake had now.
Nashauri kubali ukweli, na epuka kumuwazia sana huyo ex, japo sio rahisi, ila amini hivyo na maisha yaendelee.
Pole ila wewe kushindwa kumfungukia hii umetupiga udugu… ulivyo na kisirani wewe hata kumbaka ungembaka mbona 😹🤣🤣
 
Habari wakuu

Nimehangaika sana kukabiliana na hili jambo lakini kwa uwezo wangu wote imeshindikana kabisa nahitaji msaada na ushauri haswa wa kiimani

Lakini msaada huu sipendelei munielekeze kwa manabii wala mitume wala dini nyingine tofauti na ukristo
Kama una mchungaji unamfahamu ambae ana uwezo wa kuongea na Mungu direct na shidq yangu ikatatuliwa naomba mni comments hapA

Tatizo linalonisumbua ni hili

Mimi ni binti wa umri wa miaka 26.. mwaka fulani nilipata mchumba wa kutaka kunioa.. wakati yuko kwenye hatua za kuja nyumbani sijui niseme bahati mbaya ama ni nzuri yule kaka Alifariki,, ilikuwa kama ghafla tu

Katika maisha yangu nishaumia na mengi ila hili jambo ni jambo linalo niumiza sana yaani mno… nimejitahidi kulikubali na nikajifanya nina nguvu ya kulikabiri, mbele za watu najifanya ni strong sitaki kulialia ila ndugu zanguni ni uongo ninalia sana na nina umia ndani kwa ndani kila nimkumbukapo huyo kijana

Tangu tatizo linipate sijawai kupata mtu wa kunifanyia counseling wala maombi.. sijawahi kuonana na mtu yoyote wa kidini ambae labda angeomba na mimi

Hata nikitaka kuomba mwenyewe siwezi nakosa kuomba nakosa maneno ya kuongea

Ubaya zaidi tangu huyo kijana afariki mimi kwangu mahusiano ni changamoto kila ninaempata ninafanya comparison sana kiasi kwamba najikuta naachwa achwaa

Kwa sasa nina mahusiano mapya yana miezi 5 angalau kuna ka mwanga lakini nahisi huyu Kijana atanichoka maana nampa pressure sana.. asiponitafuta nakuwa naogopa,, siogopi kuachwa naogopa nisije pewa taarifa za msiba

Hili jambo linanitesa sana hofu ya kuachwa imenitawala… hata kuolewa naogopa maana kila nikikumbuka kuhusu ex wangu marehemu inaniuma sana
Unajua Hakuna kitu kinaniuma kama kifo chake.. yaani mwanaume niliekuwa nampenda tunapenda yupo tayari kunioa.. baada ya mawasiliano ya masaa mawili napewa taarifa ya kifo chake
Mwanaume ambae tulipanga mipango mingi ya baadae…nilishaamini kuwa angeenda kuwa mme wangu,, baba wa watoto wangu,, niliacha kila kitu changu kwaajili ya kujiandaa kuwa mke wake

Unajua namna inavyouma 😭😭
Ni kama vile nilipokonywa tonge mkononi

Nahitaji kupata ushaurii wowote haswa wa kiimani
NB:
Naomba ushauri wa kwenda kwa manabii ama mitume ama watu wafananao na hao sihiitaji… siitaji kulishwa keki wala mafuta wala chumvi wala kitambaa.. sihitaji waganga wa kienyeji

Mimi ni mkristo kabisaa
Nahitaji kupata mtu wa kweli wa Mungu anaeongea na Mungu direct najua Tanzania nzima hatokosekana
roho ya mauti inahitaji kujitakasa vizuri sana kiroho na kimwili ili kuikabili na kuishinda,

hata hivyo,
ni muhimu zaidi kujitenga kabisaa na vitu vya marehemu kama vile picha zake, zawadi alizowahi kukununulia kama vile nguo n.k.. Ni vizuri pia kuepuka kabisaa kupita au kuishi mazingira na maeneo ambayo mlipendelea kwenda pamoja na huyo marehemu mpenzi wako.n.k

Ni Lazima zaidi kutafuta kitu cha kukufanya uwe busy, ili angalau kujitenga na upweke ambao ni janga la kisaikolojia kwa vijana wengi kwa sasa.

kumbuka,
an idle mind is devil's workshop.
Mungu akupe nguvu kushinda jaribu hilo zito my lady 🐒
 
Uzi ufungwe📌

Watumishi wenyewe ndo hao wa kina Kuhani😖
watu wenye mawazo kama mleta mada.huwa napenda waendelee kutapeliwa zaidi mpaka akili ziwakae sawa. hadi leo bado kuna watu wanaamiin kuna mtu anaweza kuongea na mungu badala yake.aisee akili gani hiii? huyu anahitiji mindset reshape kabla ya hata kupata mume
 
nimesema ana shida nying zidia ya hii!
Anataka masalia ya Mungu ndo yaongee naye.
NYIE KUNA watu mko serious na mambo ya imaniii! kwa namna hii mi najiona kabisa navyoenda motoni!
 
Asante mkuu.. Leo nimefanya zoezi la kufuta kila kitu chake kwenye simu yangu sikuwai kufuta hata charting zake nimefuta zote namba yake tu ndio nimeshindwa kuifuta

Kuhusu Zawadi zake huwa nime dhihifazi mahali sijawai zitumia tena
Nataka nijue kama niweza kuzitumia hizo vitu alivyowai kunipa kama nguo saa heren cheni au nivichome moto
 
Kadogoo na binti sayuni mpk sasa mshapitia mahusiano mangapi?? Mana kila uzi unaonyesha mpo kwenye husiano jipya mnatuchanganya washauri…!!
Wana hekaheka sana hawa watu

nimesema ana shida nying zidia ya hii!
Anataka masalia ya Mungu ndo yaongee naye.
NYIE KUNA watu mko serious na mambo ya imaniii! kwa namna hii mi najiona kabisa navyoenda motoni!
bado yuko na ujinga mwingi huyu binti. ni hatari kuwa na kiumbe cha namna hii kitanda kimoja.huyu atamtii kiongozi wa dini kuliko mumewe.hana maana huyu.
 
Wana hekaheka sana hawa watu

Bora tusaidiane wanatuchosha 😹
 
watu wenye mawazo kama mleta mada.huwa napenda waendelee kutapeliwa zaidi mpaka akili ziwakae sawa. hadi leo bado kuna watu wanaamiin kuna mtu anaweza kuongea na mungu badala yake.aisee akili gani hiii? huyu anahitiji mindset reshape kabla ya hata kupata mume
Wewe utakuwa umenielewa vibaya tu mkuu au labda maelezo yangu hayajaeleweka

Mimi sio muhumuni wa watumishi siamini nabii wala mtume yoyote
Na sijawah udhùria makanisa ya kitapeli ya kuuziwa mafuta na maji na machumvi sijui vitambaa vya upako

Ila ninacho amini bado watumishi wa Mungu wa kweli wapo ambao kupitia wao Watu huokolewa dhambini na kuponywa matatizo yao ( Mungu anajidhihirisha kupitia wao)

Hao watu hutosikia wanatoza hela wala kukanyaga mafuta mimi ndio namtafuta mtu wa hivyo mkuu
 
Asante mkuu.. Leo nimefanya zoezi la kufuta kila kitu chake kwenye simu yangu sikuwai kufuta hata charting zake nimefuta zote namba yake tu ndio nimeshindwa kuifuta

Kuhusu Zawadi zake huwa nime dhihifazi mahali sijawai zitumia tena
Nataka nijue kama niweza kuzitumia hizo vitu alivyowai kunipa kama nguo saa heren cheni au nivichome moto
well done,
usiviharibu wala kuvichoma, wapatie wahitaji vile vyote ambavyo vinafaa kutumika na kumsitiri anaehitaji na Mungu atakubariki kwa majitoleo na ukarimu wako wa bila kujibakiza.

Kwa kufanya hivyo,
utapata ahueni ya haraka zaidi kisaikojia, kiroho na kimwili.
God bless you 💪👊
 
Back
Top Bottom