Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Dear sijui kama utakuwa umenielewa vibaya

Kuna wakati unatamani kuomba ila unashindikana unakosa ujasiri wa kuomba nguvu zinakuishia.. sijui kama umeshawahi kuondokewa na mpendwa wako

Kuna vitu ni vigumu kuvufanya peke yako lazima huitaji mtu wa pili na mimi ndio huyo ni nae mtafuta

Nina amini Mungu bado ameacha masalia yake kuna watumishi wanaoweza kuzungumza na Mungu moja kwa moja bila kuingiza uchafu wowote wa maigizo ya mafuta wala chumvi wala maji najua wapo

Nina amini kuna wachungaji ambao unaweza kufanya nao maombi na maombi yako yakajibika kwa urahisi

Dear mpk kufikia kuja hapa kuomba ushaurii nimeshajaribu kuomba mwenyewe vimeshindikana na siwezi kumchukua yoyote tu kwasababu namuona kanisani ni kaomba nae hapana

Suala la ndoa sina haraka nalo maana kama ningekuwa nataka ningekubali na hapa nilipo mtu akizungumza habari za kunioa ninaogopa situation ya niliyopitia inanirudia nawaza what if na huyu likamkuta hilo jambo

Na ndio maana natafuta uponyaji yamkini kuna sehemu nimeachia uwazi shetani akapata nafasi. What if hawa nao wakataa kunioa kumbe ni kazi ya ibilisi kuharibu
wewe unatabia ya kiburi.Unashauriwa unajitia ubishi. Hakuna mwanaume anaetaka kuoa mwanamke mwenye sifa kama zako. Acha ubishi na kiburi uone kama huolewi. Na uwache tabia ya kumtupia shetani lawama wakati ni ujinga wako. matatizo yako ni wajibu wako, achana na masuala ya kutafuta ushirika kwenye matatizo.baadae huyo mshrika ataanza kuhadithia ujinga wako mbele za watu, uanze kuleta lawama zako hapa jamvini.
 
Nahitaji kupata mtu wa kweli wa Mungu anaeongea na Mungu direct najua Tanzania nzima hatokosekana
Huyo mtu ni Wewe mwenyewe my dear...jinenee vitu positively...jinenee ilikua bahati mbaya mpenzi wangu ukaniacha.naamini soon ntapata m-bora zaidi tutaanzisha family..Mungu hakupanga tuishi wote .na kweli utampata mtu mzuri kumzidi marehem..afu usiamin maombi ya mtu mwingine lia na Mungu wako usiku mkali .pole sana
 
Hivi mkuu wewe unapenda kukumbuka marehemu… kumkumbuka mtu sioni kama kuna shida… shida huja pale unapomkumbuka na maumivu yaja na hiyo kitu ni automatically sio naamua kwamba sasa ni muda wa kumkumbuka marehemu
Sikiliza mdada.
INAKUPASA KUKUBALI HUO UKWELI!
Si umeona vile hata wewe mwenyewe umeliona ni tatizo!
Meaning ni kitu kinajirudia rudia na ni kitu cha kila siku! Kila nafsi imeumbiwa mauti my dear!
Hakuna kiumbe alozaliwa na mwanamke hataonja mauti!
Ukianzia hapo tu utaona vile unavyoshindana na maumbile!
Mimi na wewe tutakufa, na hatutaishi milele!
Kifo kinauma sana, sana sana!
Sijawahi kufiwa na mpenzi, ila nimewaji fiwa na rafiki , wazazi wote wawili, mdogo wangu wa pekee!
So ninakuelewa mno unaposema uchungu wa kufiwa, hatulinganishi maumivu ila what i tell you is
Kufiwa kupo na kutarajie!
Kuachwa kupo na kutarajie!
Unapokutarajia sio kuwa ukae mguu nje mguu ndani, hapana! Bali Kujua ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na ni sehemu ya mapenzi!
Hatari ya huo uchungu unauendeleza ni KUTOKUFAA kwa yeyote, hakuna mtu anataka kung'ang'aniwa kama luba, hasa haya mapenzi ya siku hizi!
Hakuna mtu anataka kuhisiwa ataacha mwenzi iwapo hana huo mpango
MUCH WORSE hayuuuuupo mtu anataka kulinganishwa au kushindanishwa na yeyote mbaya zaidi na marehemu!
We ungeweza? yani mtu kila siku unamkuta anamlilia marehemu ex wake? Na upo ndani unampenda vizuri u are doing your best loving him/her? yeye kutwa anamlilia marehemu ex wake?
Ulimdate wa nini sasa iwapo u are soul iko tied kwingine?
HAYUPO MTU ATAKUELEWA.

so unaruin your own life ans still unataka usiexperience kuachwa, fact is unaanda mazingira hayo so unakitengeneza unachokihofia!

Kuhusu kuombewa na mtu anayeongea na Mungu direct, mi sio prayer person kihivyo ila angalau ninajua kuwa mtu huyo hayupo kuendelea kumtafuta ukimuwekea tumaini ndiye atakayekuvusha kweenye tatizo lako ni kujindanganya! ila nINAAMINI KUWA MUNGU YUPO na hana c/o go face him na umwambie haja za moyo wako.

huwezi na hili pia, well, endeleA kulia na kuwa na uchungu!
 
Habari wakuu

Nimehangaika sana kukabiliana na hili jambo lakini kwa uwezo wangu wote imeshindikana kabisa nahitaji msaada na ushauri haswa wa kiimani

Lakini msaada huu sipendelei munielekeze kwa manabii wala mitume wala dini nyingine tofauti na ukristo
Kama una mchungaji unamfahamu ambae ana uwezo wa kuongea na Mungu direct na shidq yangu ikatatuliwa naomba mni comments hapA

Tatizo linalonisumbua ni hili

Mimi ni binti wa umri wa miaka 26.. mwaka fulani nilipata mchumba wa kutaka kunioa.. wakati yuko kwenye hatua za kuja nyumbani sijui niseme bahati mbaya ama ni nzuri yule kaka Alifariki,, ilikuwa kama ghafla tu

Katika maisha yangu nishaumia na mengi ila hili jambo ni jambo linalo niumiza sana yaani mno… nimejitahidi kulikubali na nikajifanya nina nguvu ya kulikabiri, mbele za watu najifanya ni strong sitaki kulialia ila ndugu zanguni ni uongo ninalia sana na nina umia ndani kwa ndani kila nimkumbukapo huyo kijana

Tangu tatizo linipate sijawai kupata mtu wa kunifanyia counseling wala maombi.. sijawahi kuonana na mtu yoyote wa kidini ambae labda angeomba na mimi

Hata nikitaka kuomba mwenyewe siwezi nakosa kuomba nakosa maneno ya kuongea

Ubaya zaidi tangu huyo kijana afariki mimi kwangu mahusiano ni changamoto kila ninaempata ninafanya comparison sana kiasi kwamba najikuta naachwa achwaa

Kwa sasa nina mahusiano mapya yana miezi 5 angalau kuna ka mwanga lakini nahisi huyu Kijana atanichoka maana nampa pressure sana.. asiponitafuta nakuwa naogopa,, siogopi kuachwa naogopa nisije pewa taarifa za msiba

Hili jambo linanitesa sana hofu ya kuachwa imenitawala… hata kuolewa naogopa maana kila nikikumbuka kuhusu ex wangu marehemu inaniuma sana
Unajua Hakuna kitu kinaniuma kama kifo chake.. yaani mwanaume niliekuwa nampenda tunapenda yupo tayari kunioa.. baada ya mawasiliano ya masaa mawili napewa taarifa ya kifo chake
Mwanaume ambae tulipanga mipango mingi ya baadae…nilishaamini kuwa angeenda kuwa mme wangu,, baba wa watoto wangu,, niliacha kila kitu changu kwaajili ya kujiandaa kuwa mke wake

Unajua namna inavyouma 😭😭
Ni kama vile nilipokonywa tonge mkononi

Nahitaji kupata ushaurii wowote haswa wa kiimani
NB:
Naomba ushauri wa kwenda kwa manabii ama mitume ama watu wafananao na hao sihiitaji… siitaji kulishwa keki wala mafuta wala chumvi wala kitambaa.. sihitaji waganga wa kienyeji

Mimi ni mkristo kabisaa
Nahitaji kupata mtu wa kweli wa Mungu anaeongea na Mungu direct najua Tanzania nzima hatokosekana
Pole sana.

Kwenye familia yenu, au upande wa Baba yako au upande wa Mama yako, kuna jambo kama hili lilokupata limewahi mpata mtu mwingine?
 
Kufa kupo, kinachoumiza CHANZO kisitokane na wewe, (hiyo laana itakutafuna), wajane,Wagoner wapo waliamini Waitaishi milele, Mapenz yako ila yanamwisho, Iman ipo ila Inafanya kazi ndani ya HAKI, Kama uba mkosi, Laana, au pepo baya dawa yake ni TIBA, Kama unfamiliar kaniaani,mskitini,au kwa mganga wa kienyeji huo ndo UDHAIFU wako mkubwa, na Kama unaamin njia hizo basi FUNGUA MILANGO yoote udhamilie kupona sio nani kaniponyesha....MIKOSI IPO,UCHAWI UPO,IMANI IPO, ASILI IPO...ukitakata kujifunza usijifungie kwenye IMANI Bali kwenye njia bora...ya KUPONA...umri wako ni mdogo kusimamia imani, Bali unaweza kupona kwa mazingira yaliyokuzunguka. Ukinifuata inbox nitakusaidi...ila sio lazma na usije kwa kujaribu....ongea na MUNGU wako akukuelekeza kwangu MCHANGO WANGU UTAKUVUSHA
Mkuu kama ni imani tofauti na ya kimungu huyu alieumba ulimwengu na kumuumba mwanadamu na kumpa pumzi ya uhai.. huyu Mungu alietamka neno bahari ikawa mimea ikaota na wanyama kutokea niambie nije inbox yako

Lakini kama ni imani tofauti na hiyo please usi comments nitaelewa kuwa sio
 
Hakuna mtu anayeweza kuongea na Mungu direct kwa niaba yako. Huyo hayupo.

Mungu ashindwe kukusikiliza wewe amsikilize mtu mwingine? Hapo unaenda kupigwa.
Shikilia imani yako hiyo hiyo huko unapoabudu tafuta mtu mzima wa kukushauri. Sali kivyakovyako
Uzi ufungwe📌

Watumishi wenyewe ndo hao wa kina Kuhani😖
 
Habari wakuu

Nimehangaika sana kukabiliana na hili jambo lakini kwa uwezo wangu wote imeshindikana kabisa nahitaji msaada na ushauri haswa wa kiimani

Lakini msaada huu sipendelei munielekeze kwa manabii wala mitume wala dini nyingine tofauti na ukristo
Kama una mchungaji unamfahamu ambae ana uwezo wa kuongea na Mungu direct na shidq yangu ikatatuliwa naomba mni comments hapA

Tatizo linalonisumbua ni hili

Mimi ni binti wa umri wa miaka 26.. mwaka fulani nilipata mchumba wa kutaka kunioa.. wakati yuko kwenye hatua za kuja nyumbani sijui niseme bahati mbaya ama ni nzuri yule kaka Alifariki,, ilikuwa kama ghafla tu

Katika maisha yangu nishaumia na mengi ila hili jambo ni jambo linalo niumiza sana yaani mno… nimejitahidi kulikubali na nikajifanya nina nguvu ya kulikabiri, mbele za watu najifanya ni strong sitaki kulialia ila ndugu zanguni ni uongo ninalia sana na nina umia ndani kwa ndani kila nimkumbukapo huyo kijana

Tangu tatizo linipate sijawai kupata mtu wa kunifanyia counseling wala maombi.. sijawahi kuonana na mtu yoyote wa kidini ambae labda angeomba na mimi

Hata nikitaka kuomba mwenyewe siwezi nakosa kuomba nakosa maneno ya kuongea

Ubaya zaidi tangu huyo kijana afariki mimi kwangu mahusiano ni changamoto kila ninaempata ninafanya comparison sana kiasi kwamba najikuta naachwa achwaa

Kwa sasa nina mahusiano mapya yana miezi 5 angalau kuna ka mwanga lakini nahisi huyu Kijana atanichoka maana nampa pressure sana.. asiponitafuta nakuwa naogopa,, siogopi kuachwa naogopa nisije pewa taarifa za msiba

Hili jambo linanitesa sana hofu ya kuachwa imenitawala… hata kuolewa naogopa maana kila nikikumbuka kuhusu ex wangu marehemu inaniuma sana
Unajua Hakuna kitu kinaniuma kama kifo chake.. yaani mwanaume niliekuwa nampenda tunapenda yupo tayari kunioa.. baada ya mawasiliano ya masaa mawili napewa taarifa ya kifo chake
Mwanaume ambae tulipanga mipango mingi ya baadae…nilishaamini kuwa angeenda kuwa mme wangu,, baba wa watoto wangu,, niliacha kila kitu changu kwaajili ya kujiandaa kuwa mke wake

Unajua namna inavyouma 😭😭
Ni kama vile nilipokonywa tonge mkononi

Nahitaji kupata ushaurii wowote haswa wa kiimani
NB:
Naomba ushauri wa kwenda kwa manabii ama mitume ama watu wafananao na hao sihiitaji… siitaji kulishwa keki wala mafuta wala chumvi wala kitambaa.. sihitaji waganga wa kienyeji

Mimi ni mkristo kabisaa
Nahitaji kupata mtu wa kweli wa Mungu anaeongea na Mungu direct najua Tanzania nzima hatokosekana
Pole sana binti, ushauri wangu, wala usiwe na wasi wasi kila kitu hupangwa na Mungu. Nina tukio kama hili exactly, na mwisho wake huyu binti alipata mume safi tu , mpaka leo wanaishi vizuri kabisa. Tofauti na wewe huyu aliachiwa mtoto kabisa. Sasa fikiria.
Leo hii akikumbushwa anasema huyu mwanaume alie nae, aliletwa na Mungu. Sema mwanzoni alikuwa na wasi wasi kama wewe na kwa kweli anampenda sana huyu mumewe.

Kama huyo kijana mpya anakupenda na wewe unampenda basi jitahidi usahau penzi la marehemu na umpe penzi huyu kwani ndie uliye naye kwa sasa. Muombe tu mungu, kila kitu kitakwenda sawa.
 
Wajua kuwa wewe hauna imani hata kidogo, ndiyo maana unahisi kuna mtu ana nguvu zaidi anaweza kukusaidia kuomba, imani haiji kwa kuombewa, ila ni wewe kuamua sasa namtafuta Mungu kwa imani yangu yote nitapata faraja.
Kama unaamini kuna watu wanaongea na Mungu direct kwanini wewe usiweze? Unaweza ingia kanisani piga goti sali hakika utauona ukuu wa Mungu.
Miaka miwili umejiwekea moyoni mwako na nafsi yako huwezi endelea kisa umefiwa yaani umelifanya tatizo lako kuwa kubwa na ajabu kutokea, kuomboleza saaana hakubadilishi maana ya kile kilichotokea, tokea umezaliwa hukuwahi kufiwa na ndugu? Maumivu hayakuisha? Jiulize wengine wanaishije wanaoachwa na wapendwa wao? Omba Mungu akuondolee hiyo roho ya maombolezo ya muda wote
Sawa madam nitakifanyia kazi
 
Imani yako wewe na ndugu zako kuhusu Mungu ni ndogo sana.
Achana na hayo mambo ya imani tafuta mshauri akushauri uondokane na hiyo sonona uliyokuwa nayo.
Usisikilize maneno ya watu. Be happy move on binti, maisha mafupi haya..hiyo mikosi unaitafuta mwenyewe kwa mawazo negative uliyonayo.
Sawa madam
 
Dear sijui kama utakuwa umenielewa vibaya

Kuna wakati unatamani kuomba ila unashindikana unakosa ujasiri wa kuomba nguvu zinakuishia.. sijui kama umeshawahi kuondokewa na mpendwa wako

Kuna vitu ni vigumu kuvufanya peke yako lazima huitaji mtu wa pili na mimi ndio huyo ni nae mtafuta

Nina amini Mungu bado ameacha masalia yake kuna watumishi wanaoweza kuzungumza na Mungu moja kwa moja bila kuingiza uchafu wowote wa maigizo ya mafuta wala chumvi wala maji najua wapo

Nina amini kuna wachungaji ambao unaweza kufanya nao maombi na maombi yako yakajibika kwa urahisi

Dear mpk kufikia kuja hapa kuomba ushaurii nimeshajaribu kuomba mwenyewe vimeshindikana na siwezi kumchukua yoyote tu kwasababu namuona kanisani ni kaomba nae hapana

Suala la ndoa sina haraka nalo maana kama ningekuwa nataka ningekubali na hapa nilipo mtu akizungumza habari za kunioa ninaogopa situation ya niliyopitia inanirudia nawaza what if na huyu likamkuta hilo jambo

Na ndio maana natafuta uponyaji yamkini kuna sehemu nimeachia uwazi shetani akapata nafasi. What if hawa nao wakataa kunioa kumbe ni kazi ya ibilisi kuharibu
Mungu ameacha nini?
We nae uko na shida nyingi!
 
Back
Top Bottom