Nenda vacation , tafuta mkoa nenda kazurure ata mwezi mmoja au miwili ikiwezekana hama sehemu uliyo nenda mkoa mpya ambayo hujawai kuishi. Ilishawai kunikuta ila kwenye mambo ya investment(forex) , nilipata harasa kubwa nikawa siikubali kilichotokea nikapata PANIC DISORDER. Nikawa nahisi dizzing all of the time, nikaenda Os nikapimwa magonjwa yoote majibu yakaja negative na bado nahisi dizzing niko os. Nilipagawa nikais mwisho wa dunia.
Kuna jamaa dr kwenye group la forex ndio alinisave kwa kuniandikia dawa ambaazo zilinirudisha normal baada ya 1 week, hapo nikawa mtu wa vacation na mwisho nikahama mkoa. Nilijikuta nimekuwa happy people, no stress nakufurahia maisha, nakumbuka nilivyo kuja Dar nikawa nazurura sana kila siku mim ni kiguu na njia, wengi waliona mshamba kumbe mwenzao natafuata AMANI YA MOYO, bila amani ya moyo maisha hayama maana. Na uwa sipend kurudi mkoa niliyotoka until now. vacation inasaidia sana kubadlisha fikra pale ambapo imeharibiwa na kuleta negative thoughts.
Na kingine ambacho nilijifunza down the road ni kujipa uhusika(Responsibility), ukitaka mabaya yasikuletee madhara na kukumaliza penda kujipa uhusika bila kutafuta execuses. Kinachoua watu wala wengi nowadays ni majibu ya magonjwa yao na sio magonjwa itself, unapokataa majibu mwili una react na mwisho unakuwa walking dead, hicho nimekiona chini ya jua.
Jifunze kuomba bila kutegemea kuombewa, kuna kipindi nilikuwa kama kichaa kwasababu ya HOFU iliyonitawala nikawa naogopa GIZA na umri huu nikichekesho lakini niliogopa haswa ad nalala bila kuzima taa, hii hali ilinitesa ad pale nilipochukua hatua kwenda kwenye nyumba za ibada na uko ndio nilipojifunza kuomba. Wanaoteseka na mambo ya kiroho ni wale ambao hawajui kuomba, usipojua kuomba utateseka sana kwenye mambo ya kiroho. kwenye kuomba nilifunza ata kusimamia vifungu vya biblia na miujiza niliona.
Nakumbuka kipindi hicho cha mazonge nilipata pia vidonda vya tumbo , nikawa ni mtu wa leo wa kesho kila ninachokula tumbo linauma. Nilipoanza kwenda kwenye nyumba za ibada nikajifunza kusoma biblia na kuomba, ila kuna kitabu cha Gwajima nilisoma kilinivusha sana kwenye kujfunza kuomba kwa kusimamia mistari.
Kumbe unavyoomba bila mistari ni miyeyusho sana ukifuatilia pale kwenye sura ya LUKA 4, Yesu alivyojaribiwa na shetani alisimamia mistari shetan akakubali yaishe.
🙂 🙂
Kuna jpil moja nilienda church nikutana na somo likanibamba sana na kunijenga kiimani nikajisemea moyon nikirudi home lazima nikatest mitambo nione niaje, ad now ule mstari naukumbuka( Yohana 14:13-14). Huu mstari ulinifanya nianze kula maharage once again after 2 years ya mateso ya vidonda vya tumbo. Siku hiyo nilirudi home nikakuta wamepika wali na maharage na ndio chakula pendwa kwangu nikasema leo wacha nione kama kweli mtoto wa mwenye dunia atanisave, basi nikachukua wali nikajaza maharage haswa nikaomba uku nikinukuu kufungu cha biblia (Yohana 14:13-14), after prayer nikaanza kula bila HOFU, hapo ndipo mwanzo wa mimi kuanza kula maharage na makolo mengine ambayo ni kinyume na vidonda vya tumbo.
Ko ukiendelea na hiyo hali ya kutokubali matokeo unajitaftia Depression soon or late, na utakuwa negative people, utaandamwa na mambo mabaya siku zote ad ubadli fikra yako. Kila baya unaloliwaza linatokea, hakuna kibaya ambacho unakiwaza kitaacha kutokea. Nakumbuka nimekuja dar for the first time, nikaenda kwa jamaa yangu aliyekuwa ananizururisha tumepiga stori mbili tatu nikabanwa na haja ndogo , naenda toi nakuta choo kichafu hatare na kipindi hicho nilikuwa na hofu sana na UTI, nikaweka hofu ya kupata UTI, kesho yake asubuhi nahamka majanga UTI kali sio poa ikabd nikimbilie OS kuchukua AZUMA.
Kuna kipindi unabd ukubali matokeo ili uendelee kuish vzuri kinyume na hapo ni kujitaftia matatizo ambayo huna.
- "Overthinking is the art of solving problems you don't have." - James Clear
- "Overthinking is a symptom of underacting." - Adam Grant
- "Don't get too deep; it leads to overthinking and overthinking leads to problems that don't even exist in the first place." - Jayson Engay
- "Overthinking is a habit, stop feeding it."
- "To think too much is a disease."
- "Worrying is like paying a debt you don't owe."
Last words: Vacation, vacation, vacation.