Sikiliza mdada.
INAKUPASA KUKUBALI HUO UKWELI!
Si umeona vile hata wewe mwenyewe umeliona ni tatizo!
Meaning ni kitu kinajirudia rudia na ni kitu cha kila siku! Kila nafsi imeumbiwa mauti my dear!
Hakuna kiumbe alozaliwa na mwanamke hataonja mauti!
Ukianzia hapo tu utaona vile unavyoshindana na maumbile!
Mimi na wewe tutakufa, na hatutaishi milele!
Kifo kinauma sana, sana sana!
Sijawahi kufiwa na mpenzi, ila nimewaji fiwa na rafiki , wazazi wote wawili, mdogo wangu wa pekee!
So ninakuelewa mno unaposema uchungu wa kufiwa, hatulinganishi maumivu ila what i tell you is
Kufiwa kupo na kutarajie!
Kuachwa kupo na kutarajie!
Unapokutarajia sio kuwa ukae mguu nje mguu ndani, hapana! Bali Kujua ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na ni sehemu ya mapenzi!
Hatari ya huo uchungu unauendeleza ni KUTOKUFAA kwa yeyote, hakuna mtu anataka kung'ang'aniwa kama luba, hasa haya mapenzi ya siku hizi!
Hakuna mtu anataka kuhisiwa ataacha mwenzi iwapo hana huo mpango
MUCH WORSE hayuuuuupo mtu anataka kulinganishwa au kushindanishwa na yeyote mbaya zaidi na marehemu!
We ungeweza? yani mtu kila siku unamkuta anamlilia marehemu ex wake? Na upo ndani unampenda vizuri u are doing your best loving him/her? yeye kutwa anamlilia marehemu ex wake?
Ulimdate wa nini sasa iwapo u are soul iko tied kwingine?
HAYUPO MTU ATAKUELEWA.
so unaruin your own life ans still unataka usiexperience kuachwa, fact is unaanda mazingira hayo so unakitengeneza unachokihofia!
Kuhusu kuombewa na mtu anayeongea na Mungu direct, mi sio prayer person kihivyo ila angalau ninajua kuwa mtu huyo hayupo kuendelea kumtafuta ukimuwekea tumaini ndiye atakayekuvusha kweenye tatizo lako ni kujindanganya! ila nINAAMINI KUWA MUNGU YUPO na hana c/o go face him na umwambie haja za moyo wako.
huwezi na hili pia, well, endeleA kulia na kuwa na uchungu!