Nawezaje kupata Tsh. Milioni moja?

Hii ninayopata, kuikusanya mpaka ikafike milion itachukua mudaa.
Asante kwa ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee una lips nzr!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unashida na hiyo millioni ni pm ila kweli uwe ni ke na pili shida kweli iwe ni million 1 sio zaidi ya hapo njoo na business plan yako chonde chonde kama ni mke wa mtu hapana siitaji

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo wala sio kupata hio 1 m tatizo ni je una uhakika hio 1m itazaa au itaishia kwenye kukodi hilo jiko kuwalipa vijana ujira wao, kununua matumizi ya siku chache na kuishiwa kuibiwa na hao vijana wako wa kazi...

Watanzania sio waaminifu kabisa bila kuwepo na kukaba mpaka penalty utaambulia kutoa matumizi na kulipa mishahara kutoka kwenye mshahara wako wa kazi nyingine na kutokuona hata chembe ya faida...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…