Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

Mkuu fahamu kwamba maisha ni offer ya Mara moja aliyokupa MUNGU.
Hivyo basi itumie vizuri.
Maisha ni kama vipandio vya ngazi,,hapo ulipo wewe ,kuna wenzio wanatamani kufika,,wanatamani wawe kama wewe.

Jaribu kuangalia nyuma yako utawaona wengi walio nyuma yako,basi unapaswa ushukuru MUNGU.

Usiangalie walio mbele yako,,
utawaona waliofanikiwa zaidi yako,,na hapo ndipo utakapopata sononeko la moyoni na kukufuru MUNGU.

siri ya furaha ya maisha duniani.
  • ridhika na ulichonacho.
  • usijilinganishe maisha yako na maisha ya wengine.
  • duniani tunapita.
Ukiwa na fikra hizo,,huwezi kubabaika na Mali wala kitu cha wengine.

Kumbuka mkuu
life is one time offer given from God,
Use it well.
Don't stress yourself.
Mark my words..
 
Talk to your parents or friends about it. It will bring you rest. Also, do the things you love
 
Kwa mara ya kwanza nimeona komenti yako inayo-make sense. Be blessed
 
Pole sana jaribu kuweka kila kitu wazi ili tunaotakiwa kukusaidia tuweze kupata mwanga wa chanzo cha tatizo lako.
 
Kitabu nimekisoma hichi.... Niwe mkweli kilinisogeza karibu na Mungu Wangu...Japo nichadini tofauti na Yangu...wamesisitiza Sana kusali..japo sikukimaliza
Nenda kawatembelee yatima na uwape msaada,nenda kawatembelee wagonjwa sugu(walopoteza tumaini la kuishi).Hakika utakuja nishukuru
 
Google kitu kinaitwa Midlife Crisis ukielewe. Then tafta namna ya ku overcome hio hali humo humo google watakupa solutions.
 
nataka kuhamia dodoma naomba uwe mwenyeji wangu ila kuhusu tatizo lako naona kuna kitu unakitaka lkn hujajua nikitu gan?
Karibu Dodoma..ila Sina pakukulaz
 
Hu Huigopi majini mkuu, yani unatembeaje usiku wa saa8 pekeako mkuu😂
 
Nenda kawatembelee yatima na uwape msaada,nenda kawatembelee wagonjwa sugu(walopoteza tumaini la kuishi).Hakika utakuja nishukuru
Nawaza Sana kwenda kutembelea mahospitali Ila Sina chakupeleka...Je unaweza kwenda mikono mitupu?...kuhusu yatima Mungu akinijaalia uwezo ningependa kulea au kusaidiana Yatima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]....Midlife criss
Midlife Crisis ndio Consider the following symptoms of a midlife crisis common to both men and women:

1.Feeling unfulfilled in life.

2.Intense feelings of nostalgia, chronic reminiscence about the past.

3.Feelings of boredom, emptiness and meaninglessness.

4.Impulsive, often rash actions.

5.Dramatic changes in behavior and appearance.

6.Marital infidelity or constant thoughts about infidelity

7.Constantly comparing oneself to others, who seem happier or more fulfilled

8.Intense feelings of regret
 
Unasononeka kwanini mie sio tajiri kama flani mwishowe unaishia kujiunga freemason au kwenda kupewa utajiri wa manyoka nyoka
 
Uko na maisha mazuri tu ahuhitaji mpenzi kwani watakupa stress tu.
 
Unasononeka kwanini mie sio tajiri kama flani mwishowe unaishia kujiunga freemason au kwenda kupewa utajiri wa manyoka nyoka
Kwl kabisa mkuu,,
Walio wengi wanakosa furaha sababu ya kujilinganisha maisha yao na wengine,,
Hata mkeo /mume ukimfananisha na mke / mume wa wengine lazima utamuona hana thamani ,,,na kukosa furaha ya ndoa.
Ukilinganisha nyumba yako na wengine,,basi kwako utapaona ni sawa na kibanda..na kukosa amani na furaha ya nyumbani
Tujifunze kujikubali,
Kuridhika na tulichonacho,,
Kwani mmiliki wa furaha yako ya maisha ni wewe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…