[emoji4] Nipo tayari. Nimejipanga kupambana na yote . Hasa hata ikibidi nijifunze kitu kimoja zaidi ya wiki nipo tayari. [emoji120]Self-taught ??? [emoji38][emoji38][emoji38]
Upo tayari kuzipokea errors kwa moyo mmoja?
Upo tayari kuvunjika moyo na kuona maisha machungu...
[emoji4] anhaaaa asantee [emoji120]hayo mavitu uanze kama hobby (passion) , ukikaza lazima tu uishie kushusha PDFs na IDEs kibao kisha kuyatazama tu
anza na zile rahisi rahisi, kama VBNet au Processing, tengeneza program simple simple za PC
au drag-drop MIT App Inventor (upande wa App - Android )
uta catch up haraka sana na kutaka kujua nini kipo nyuma ya izo VBNet, drag-drop platforms, etc, hapa sasa dawa itakua inaenea mwilini vizuri na taratibu sana
Kurukia moja kwa moja Python, C, utakua bored, utapoteza interest mapema sana na ndoto kufia hapo
Aanze na C alafu C++ bila kusahah Assembly π π πhayo mavitu uanze kama hobby (passion) , ukikaza lazima tu uishie kushusha PDFs na IDEs kibao kisha kuyatazama tu....
Ok , siku ukikata tamaa - unijulishe[emoji4] Nipo tayari. Nimejipanga kupambana na yote . Hasa hata ikibidi nijifunze kitu kimoja zaidi ya wiki nipo tayari. [emoji120]
Ok , siku ukikata tamaa - unijulishe
Ili necheke - coz watoto wengi wakike hawamalizagi mambo
hahahaha, unashusha PDF za Mazidi kwa mbwembwe kabisa,Aanze na C alafu C++ bila kusahah Assembly π π π
PDF nyingi ni kama miruzi mingi kwa mbwa lazima impoteze. Ashushe moja akomae nayo hadi iingie kwenye damuhahahaha, unashusha PDF za Mazidi kwa mbwembwe kabisa,
unaishia kuzikodolea macho tu, unafungua kisha unafunga
ukianza na assembly moja kwa moja, ubongo una snap, kesho uko mirembe
[emoji23] Na siku niki-make it ntakujulisha pia.Ok , siku ukikata tamaa - unijulishe
Ili necheke - coz watoto wengi wakike hawamalizagi mambo
[emoji4][emoji120]PDF nyingi ni kama miruzi mingi kwa mbwa lazima impoteze. Ashushe moja akomae nayo hadi iingie kwenye damu
Mimi nina project ambayo nataka ku launch unaniambia kwa miezi mitatu naweza komaa na java mpaka nikatengeneza hii app vizuriSelf-taught ??? πππ
Upo tayari kuzipokea errors kwa moyo mmoja?
Upo tayari kuvunjika moyo na kuona maisha machungu...
Nakupa namba pm taunze wote[emoji4] Nipo tayari. Nimejipanga kupambana na yote . Hasa hata ikibidi nijifunze kitu kimoja zaidi ya wiki nipo tayari. [emoji120]
Yap , unawezaMimi nina project ambayo nataka ku launch unaniambia kwa miezi mitatu naweza komaa na java mpaka nikatengeneza hii app vizuri
Sio kirahisi namna hiyo[emoji23] Na siku niki-make it ntakujulisha pia.