Nawezaje kuwa programmer wa kike?

Nawezaje kuwa programmer wa kike?

Pimky

Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
24
Reaction score
19
Je, nawezaje kuwa female programmer? Naanza kusoma vitu gani Kwanza? Kuna vitu vya kusoma kabla ya coding? Je natakiwa nijue languages zote za computer au nikijua python na java zinatosha?

Zingatia: Sio kwenda chuoni au course centres Fulani, naongelea self-taught. Kujifunza mwenyewe maana napenda kuwa programmer lakini sijasomea mambo ya computer, nipo Nasoma vitu vingine lakini programming ndio hobby.
 
Female programmer tupeane namba tuanze kujifunza wote maana nataka nianze JAVA naona uvivu, ngumu, ugumu Kama vipi unda kakundi tuanze nikijua kutengeneza App then Nina pesa nakaa geto tu na launch app zangu kutegemea developer daah
 
Kwanza chagua career. Na kwasasa career bora ni inayojihusisha na data science, machine learning, artificial intelligence. Then angalia hii career inataka ujue lugha zipi za programming. Hili unaweza hata ku google tu.

Wakati unasoma lugha za msingi za career yako. Take few moments here and there usome the basic markup and programming languages kama html, css, php, javascript, java.

Kwenye kuchagua career ndio tumia muda mwingi kupata information career ipi inakufaa. Mana issue sio tu kuwa programmer, bali kuwa programmer kwenye lugha zenye soko kubwa na future bora.

Lugha yoyote utayochagua jifunze zaidi kwa vitendo sio theory za vitabu. Kwa sasa best teacher wa kumchukua ni ChatGPT. Muulize kila kitu kuanzia jinsi ya ku install the basic environment kwenye PC yako mpaka jinsi ya kuanza kuitumia na kadhalika.

Na wala haijalishi umeli frame vipi swali lako we andika maelezo ya swali lako kwake na utume atasoma atakujibu vizuri.

Hata hili swali lako ulilouliza hapa ukienda kumuuliza na yeye atakupa majibu tena mazuri tu.
 
Self-taught ??? 😆😆😆
Upo tayari kuzipokea errors kwa moyo mmoja?
Upo tayari kuvunjika moyo na kuona maisha machungu?

Ukitaka kujifunza mwenyewe , kuwa na project ambayo itakufanya ujilazimishe
Kwa mfano : unataka kutengeneza app ambayo itakumbusha siku za hedhi - hiyo project iwe ndani ya miezi 2 uwe umeshai-upload kwenye playstore

Cha 2 , Self-taught bila kuwa na MB za kutosha ni kujisumbua . MB zitatumika ku-google errors , ku-download tutorial mbalimbali
 
hayo mavitu uanze kama hobby (passion) , ukikaza lazima tu uishie kushusha PDFs na IDEs kibao kisha kuyatazama tu

anza na zile rahisi rahisi, kama VBNet au Processing, tengeneza program simple simple za PC
au drag-drop MIT App Inventor (upande wa App - Android )

uta catch up haraka sana na kutaka kujua nini kipo nyuma ya izo VBNet, drag-drop platforms, etc, hapa sasa dawa itakua inaenea mwilini vizuri na taratibu sana

Kurukia moja kwa moja Python, C, utakua bored, utapoteza interest mapema sana na ndoto kufia hapo
 
Self-taught ??? [emoji38][emoji38][emoji38]
Upo tayari kuzipokea errors kwa moyo mmoja?
Upo tayari kuvunjika moyo na kuona maisha machungu...
[emoji4] Nipo tayari. Nimejipanga kupambana na yote . Hasa hata ikibidi nijifunze kitu kimoja zaidi ya wiki nipo tayari. [emoji120]
 
hayo mavitu uanze kama hobby (passion) , ukikaza lazima tu uishie kushusha PDFs na IDEs kibao kisha kuyatazama tu

anza na zile rahisi rahisi, kama VBNet au Processing, tengeneza program simple simple za PC
au drag-drop MIT App Inventor (upande wa App - Android )

uta catch up haraka sana na kutaka kujua nini kipo nyuma ya izo VBNet, drag-drop platforms, etc, hapa sasa dawa itakua inaenea mwilini vizuri na taratibu sana

Kurukia moja kwa moja Python, C, utakua bored, utapoteza interest mapema sana na ndoto kufia hapo
[emoji4] anhaaaa asantee [emoji120]
 
hahahaha, unashusha PDF za Mazidi kwa mbwembwe kabisa,
unaishia kuzikodolea macho tu, unafungua kisha unafunga

ukianza na assembly moja kwa moja, ubongo una snap, kesho uko mirembe
PDF nyingi ni kama miruzi mingi kwa mbwa lazima impoteze. Ashushe moja akomae nayo hadi iingie kwenye damu
 
Self-taught ??? 😆😆😆
Upo tayari kuzipokea errors kwa moyo mmoja?
Upo tayari kuvunjika moyo na kuona maisha machungu...
Mimi nina project ambayo nataka ku launch unaniambia kwa miezi mitatu naweza komaa na java mpaka nikatengeneza hii app vizuri
 
Mimi nina project ambayo nataka ku launch unaniambia kwa miezi mitatu naweza komaa na java mpaka nikatengeneza hii app vizuri
Yap , unaweza
Ila hiyo miezi 3 , unaanza kukaa kwenye PC - kuanzia 12 Asubuh hadi 6 usiku

Anza na mfano wa project mojawapo ( Project ziko kibao YouTube ) ,

MB , Muda na Matamanio ndio vitaamua.

Kwa self-taught huo ni mda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom