Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

Mama yake mwenye hapokei pesa za ney ht xiku 1, mama yk amekiri mtt wak ni Freemason so kwa hilo si shangai ndiko utajir wake unapatikana.
 
Kwani hamjui kuwa ney ni freemason....mnaumiza vichwa kwanin hata kwenye moja ya nyimbo zake kuna mstari unaosema kua yeye ni rafiki wa lusifer utamweleza nini.

Freemason my ass!!!
Kwa status gani aliyonayo na umasikini wote ule compared to the illuminati??

Kick tu za kijinga. Ashaona zile swagga za trueboy zishaexpire!
 
Cjasema YESU ni sanam ila nmesema kua kwnn acweke sanam ya YESU nia yang ni kwamba aoneshe kua YESU yupo jana,leo na hata milele na co shetan anaemuabudu

Mkuu ht sii kuweka sana bas, amsifie muumba wk na si vikaragos stahli hiyo. Washetani huo.
 

Eb google illuminat af soma mwanzo-mwisho utaelewa na utaamin ila usiogope kwa habar utazosoma
 
Aiseee! Kumbe unaamini propaganda za kijinga vile? Kile ni kitu ambacho yeyote anaweza kufanya.Mbona huku JF kuna watu wana avatar za ishara za Freemason unataka kusema nao ni Freemason kwa kigezo cha kutumia nembo zao?

ukitumia gwanda za jeshi basi ww ni mwanajeshi kama sio basi utaipenda...akatumia ishara zao basi yy ni wakwao, kama sio wakwao watamzingua..
 
Freemason my ass!!!
Kwa status gani aliyonayo na umasikini wote ule compared to the illuminats??

Co hvo yn pale inasemekana kua unapewa utakacho kama ulivoomba na wao wana categolies mbalmbal yan kuna marais na wa2 maaruf wakifika kule wanakua wafanyakaz wadogo sana kama marehem kanumba aliomba nyota ya mvuto akapewa na akaambiwa asioe,alikubaliana nao ila kilchomponza ni ile filam ya devil kingdom baada ya kuitoa filam hiyo freemason walichukia sana wakidai kua ametoa siri zao hvo wakamwambia.....battery low ntaendelea kesho
 
Mkuu hizo ni propaganda tu!hao wanaouza hizo CD nao wanatafuta kula mjini hapa!

kama jay z tu huwa anasema anapenda kuzitumia hizo sign sababu zinauza....na huwa nyimbo zake nikutafta attention zaidi kupitia hao watu...na yy unamzungumziaje.....cndo wakina nay wanaelejea huko...
 

Wakati mwingine bora kuwasoma kina Chelsea, Man U, kina Michael Jordan au hata kina Yna na Angelo, halafu hayo mengine unawaachia wapiga kabobo wa vijiweni!!
 
Huyu jamaa hamna kitu,anatafuta kiki ya kuandikwa magazetini,kesho utaona kwa shigongo
 
hata hajui free mason ni vitu gan anajisemea tu...ila simshangai yeye nashangaa wanaomwamini na hizo propaganda zake...eti sanamu ya shetani?? please
 
Unaonesha kua we na shetan ni m2 na aunt yake mpk unajua rang ake halic,duh! metsha sn

Sanaa nawewe ndo mtoto wake ndo maana ukajua kama shetani mweusi
Acheni kuifedhehesha ngozi nyeusi kila kitu kibaya tu mnakiwazia kitakua cheusi.shetani ni mweusi?
Mie sijui rangi yake.
 
E Mungu msamehe sana dada huyu kwa maana yaonesha kua hajui lolote kuhus maandko matakatf ila amekalili na kufata mkumbo,,haya sema Amen

Mungu akurehemu ww unayemfananisha Yesu na mawanamu ya kizungu yaenye nywele ndefu.
Sanamu? Pole sana.
 

Asee hebu define the word freemason!
Tuanzie hapo kwanza!
Manake usikute tunamaliza wino bure tu hapa!!
 

Dah!!!
Hakyamama kuna watu mna akili hati punguuuuuuzoooo!!hivi unajua unavyosomeka??
Yani dah!mwenyeqw unaaaandiiiika !
So na kanumba alikuwa illuminai?na marais unasema huwa wanaenda kuwa watu wadoogo ,so freemason ni mjengo flan hiv unaohitaji wapiga deki waleta juwisiii!ndo hizo kazi wanaenda kufanya marais!
Hahahahahahahahahahaha (ngoja nisicheke kwa besi sana usije ukasema nnacheka kifreemason)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…