Nyie watu!!Mama yake mwenye hapokei pesa za ney ht xiku 1, mama yk amekiri mtt wak ni Freemason so kwa hilo si shangai ndiko utajir wake unapatikana.
Dah!!!
Hakyamama kuna watu mna akili hati punguuuuuuzoooo!!hivi unajua unavyosomeka??
Yani dah!mwenyeqw unaaaandiiiika !
So na kanumba alikuwa illuminai?na marais unasema huwa wanaenda kuwa watu wadoogo ,so freemason ni mjengo flan hiv unaohitaji wapiga deki waleta juwisiii!ndo hizo kazi wanaenda kufanya marais!
Hahahahahahahahahahaha (ngoja nisicheke kwa besi sana usije ukasema nnacheka kifreemason)
We bado hujajua k2 yan we bado ni katoto ila ukikua utaelewa
Wewe hujui na hujui kama hujui. Pole sometimes unatakiwa uwe msomaji tu sio lazima uchangie.
Eh! sa na ww nan kakualika yn ukiskia kiherehere ndo hik au mwenze2 ulizaliwa saloon nn mana unapenda sana kudandia tren kwa mbele
hahahaha umekuja town na mbio za mwenge sio kila kitu unajitia unajua mshamba ww
Tatzo lako we mwanamke unakalilishwa
Kwani hamjui kuwa ney ni freemason....mnaumiza vichwa kwanin hata kwenye moja ya nyimbo zake kuna mstari unaosema kua yeye ni rafiki wa lusifer utamweleza nini.
malizia basi story ya Kanumba kuchukuliwa na freemason au betri bado low. Shangingi ww!!!
kabla sijafungua uzi nilikuwa natamani sana nione huyo shetani anavyofanana, ila mbona naona kama ni sanamu ya zawadi wanayopewa wanyanyua vitu vizitoKumbe shetani yupo hivo
Nyie watu!!
Vijihela vya kubeba madawa ya kulevya mnaaminishwa ndo utajiri??
Eti utajiri wake unaotokana na kuwa freemason!
Hiyo nyumba aliyopaka paka rangi rangi na maoazia aliyoonyesha kipindi cha ujenzi ndio utajiri?
Hahahahahaha,sorry nilisahau harrier!
Huo ndo utajiri wa nay??
Psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu