Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

Mama yake mwenye hapokei pesa za ney ht xiku 1, mama yk amekiri mtt wak ni Freemason so kwa hilo si shangai ndiko utajir wake unapatikana.
Nyie watu!!
Vijihela vya kubeba madawa ya kulevya mnaaminishwa ndo utajiri??
Eti utajiri wake unaotokana na kuwa freemason!
Hiyo nyumba aliyopaka paka rangi rangi na maoazia aliyoonyesha kipindi cha ujenzi ndio utajiri?
Hahahahahaha,sorry nilisahau harrier!
Huo ndo utajiri wa nay??
Psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Yani kila nikisikia watu wanasem ney ni freemason mimi huishia kucheka jamaa ni zero to the extent kwamba hawezi kuwa freemason.

Na eti huyo ni shetani na wabongo wanakubari eti hilo sanamu la shetani bora hata lingekuwa limechongwa kama the goat of mendes, hapo ningeona jamaa kajaribu kuongopa kidogo.
Jamaa ni antention seeker hana u freemason wala ulluminate tu anacheza na akili za wengi apate kula.
 
Dah!!!
Hakyamama kuna watu mna akili hati punguuuuuuzoooo!!hivi unajua unavyosomeka??
Yani dah!mwenyeqw unaaaandiiiika !
So na kanumba alikuwa illuminai?na marais unasema huwa wanaenda kuwa watu wadoogo ,so freemason ni mjengo flan hiv unaohitaji wapiga deki waleta juwisiii!ndo hizo kazi wanaenda kufanya marais!
Hahahahahahahahahahaha (ngoja nisicheke kwa besi sana usije ukasema nnacheka kifreemason)

We bado hujajua k2 yan we bado ni katoto ila ukikua utaelewa
 
Eh! sa na ww nan kakualika yn ukiskia kiherehere ndo hik au mwenze2 ulizaliwa saloon nn mana unapenda sana kudandia tren kwa mbele

hahahaha umekuja town na mbio za mwenge sio kila kitu unajitia unajua mshamba ww
 
Kuna watu huwa ni wajinga sema huwa hawajui kama ni wajinga au watu wanao wazunguka hawaaambii kuwa wao ni wajinga
 
Kwani kama Ney ni mfuasi wa shetani tatizo liko wapi? Kwangu mimi yeye ni sawa tu na wafuasi wa dini nyingine yoyote ambao bado wanaamini mambo ya kale ambayo hayana asili ya hapa kwetu na hayana relevance kwa maisha ya sasa.
 
Naomba kujulishwa tena kwa usahihi, mliopata ujuzi wa kujua kuwa shetani ni mwanamme afu ni mweusi mmepataje kujua.
Siongelei mambo ya free masson sina interestnayo.Tuanzie kwenye swala la kuconclude kuwa sanamu lile ni sanamu la shetani, why mnasupport kuwa kweli lile ni sanamu la shetani.
 
anavyotishaaa sheatan
alaf na watu bado wanampenda
 
promo za kipumbafu kabisa...ana sifa gani zakuingia freemason!!! freemason huna hata utajiri wa dollar milion moja!! hii inaitwa iga ufee..
 
Hii thread ya ki mbwa lakini imepiga page 6! kinacho jadiliwa hapa hata sikioni! thread za maana hula page 1!
 
Kumbe shetani yupo hivo
kabla sijafungua uzi nilikuwa natamani sana nione huyo shetani anavyofanana, ila mbona naona kama ni sanamu ya zawadi wanayopewa wanyanyua vitu vizito
 
studio yake yenyewe haizidi dola 3000.. na ndo inamuingizia hela kwa kurekodi nyimbo zake
 
Nyie watu!!
Vijihela vya kubeba madawa ya kulevya mnaaminishwa ndo utajiri??
Eti utajiri wake unaotokana na kuwa freemason!
Hiyo nyumba aliyopaka paka rangi rangi na maoazia aliyoonyesha kipindi cha ujenzi ndio utajiri?
Hahahahahaha,sorry nilisahau harrier!
Huo ndo utajiri wa nay??
Psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Basi mim ni tajiri zaidi yake
 
Back
Top Bottom