snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Nyie watu!!Mama yake mwenye hapokei pesa za ney ht xiku 1, mama yk amekiri mtt wak ni Freemason so kwa hilo si shangai ndiko utajir wake unapatikana.
Vijihela vya kubeba madawa ya kulevya mnaaminishwa ndo utajiri??
Eti utajiri wake unaotokana na kuwa freemason!
Hiyo nyumba aliyopaka paka rangi rangi na maoazia aliyoonyesha kipindi cha ujenzi ndio utajiri?
Hahahahahaha,sorry nilisahau harrier!
Huo ndo utajiri wa nay??
Psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu