PreGE2025 Nay wa Mitego amkana Mange Kimambi kuhusu madai ya kupewa Milioni 100 na kuhamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote atatangaza kuhamia CCM

"Unaona mimi ni wa million 100 kweli.?! career yangu ina thamani kubwa sanaaaa, mapenzi ya Wana Nchi wangu huwezi fananisha na kiasi chochote cha pesa, na nina enjoy kua ivi nilivyo na Watu wangu. Siwezi kua Chama chochote coz mimi sio mwanasiasa bro"

1746785064545.png
Mange Kimambi adai Nay wa Mitego kahamia CCM baada ya kupewa milioni 100

Kupitia pags zake, Mange amedai Nay wa Mitego amejiunga rasmi na CCM na kupokea shilingi milioni 100 taslimu, fedha ambazo alipewa moja kwa moja na Abdul kutoka ofisi ya Rais Samia. Anadai mameneja wa Nay waliotarajia kupata asilimia 10 ya malipo hayo hawakupewa chochote baada ya Nay kuwazima.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Pia amesema Nay tayari ametengeneza wimbo wa kumsifu Rais Samia unaosubiri muda rasmi wa kutambulishwa. Mange amewataka wananchi kuwaunga mkono viongozi wanaokataa kununuliwa kama Lissu, akisisitiza kuwa yeye ndiye mwanaharakati pekee mwenye platform kubwa ambaye bado hajasalim amri.
Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote ata...jpg
 
Hivi coca uwe maarufu uwekewe 100 mezani kisa tu kusema ccm oyee utaikataa??
Ukiichukua unakuwa mateka wa ccm
Hakuna kitu kizuri kuishi kwa amani na uhuru

Pesa sio kitu cha thamani kwenye kudai haki

Mm ni kapuku ila siwezi kupokea fedha iliyojaa damu nizidi kuzima sauti za kudai haki kwa manufaa ya kizazi cha leo na kesho
 
Hata hivyo wewe na mimi sio maarufu mkuu, kwahiyo kaa kwa kutulia
 
Kila jaribu huja kulingana na mahali ulipo 2016 nilipata kazi hapo Dom maeneo maalumu isiyo ya kitaaluma.

Nikapendwa na Mh mmoja wa kike akaniahidi kunipa kitita cha m10 na gari ya kutembelea lkn moyo ulikataa na kuacha kazi na nikatoka na dodoma kabisa.

Ikumbukwe nilikuwa nalipwa 180k kwa mwezi!

Na ile kazi ilikuwa ni kupeleka moto tu basi lakini nilikataa.

Break ya kwanza nilikaa nikamuhaidithia mama A-Z akaniambia yule huenda ana ukimwi au alipenda nyota yako.

Hata wewe ambaye siye maalufu unaweza jaribiwa kulingana na sehemu ulipo wakati huo.
 
Hiyo ilikuwa kudhalilisha utu wako sasa kwani kuwa ccm ni kudhalilisha utu?
 
Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote atatangaza kuhamia CCM

"Unaona mimi ni wa million 100 kweli.?! career yangu ina thamani kubwa sanaaaa, mapenzi ya Wana Nchi wangu huwezi fananisha na kiasi chochote cha pesa, na nina enjoy kua ivi nilivyo na Watu wangu. Siwezi kua Chama chochote coz mimi sio mwanasiasa bro"

Mange Kimambi adai Nay wa Mitego kahamia CCM baada ya kupewa milioni 100

Kupitia pags zake, Mange amedai Nay wa Mitego amejiunga rasmi na CCM na kupokea shilingi milioni 100 taslimu, fedha ambazo alipewa moja kwa moja na Abdul kutoka ofisi ya Rais Samia. Anadai mameneja wa Nay waliotarajia kupata asilimia 10 ya malipo hayo hawakupewa chochote baada ya Nay kuwazima.

Pia amesema Nay tayari ametengeneza wimbo wa kumsifu Rais Samia unaosubiri muda rasmi wa kutambulishwa. Mange amewataka wananchi kuwaunga mkono viongozi wanaokataa kununuliwa kama Lissu, akisisitiza kuwa yeye ndiye mwanaharakati pekee mwenye platform kubwa ambaye bado hajasalim amri.
Wakati ndo utasema ukweli.!! ila majuzi hapa Mange amepost kuwa ametumiwa ujumbe kuwa Her days are Numbered.... Kwenye Ujasusi..kuna wakati wakitaka tafuta Mole (anauza siri za kambi kwa maadui-msaliti) utengenezwa skendo kisha upewa wale wapo suspected wasaliti...Zikifika kama vile kwa Mange... Wanajua ninani aliezipeleka huko na hushughulikiwa as decided by the leaders
 
Kwa wananchi wapi hao hawa waoga??? Acheni porojo nyie
Kujitambua huanza na mtu mmoja

Kudai haki hakijawahi kuwa kitu rahisi toka nyakati za Yesu

Milion mia haina thamani yeyote mbele maisha ya binadamu

Utajenga utaishi maisha standard lkn maisha yako yote utaishi kwa majuto makuu

Historia inaonyesha hakuna msaliti aliyemaliza safari yake salama duniani
 
Mi sifagilii ccm lakini hainifanyi nione waliopo huko ni watenda dhambi na mimi mtakatifu,, sasa kwa mtazamo huu wapinzani mna safari ndefu ya kwenda na bora hao ccm kuliko nyie sasa
 
Hiyo ilikuwa kudhalilisha utu wako sasa kwani kuwa ccm ni kudhalilisha utu?
Kila mtu na mtazamo wake. Mimi huwa naona ukiwa CCM basi kwa tafsiri yangu wewe ni mfisadi mpenda dhulma, unayeweza kufanya lolote ili tu ubakie kuwa hapo ulipo zaidi ya yite huwa naona ukiwa CCM akili inatoweka hata kama wewe ni professor
 
Au ndo maana hajatoa ngoma kwa siku za hivi karibuni maana si kawaida yake Nay
 
Kila mtu na mtazamo wake. Mimi huwa naona ukiwa CCM basi kwa tafsiri yangu wewe ni mfisadi mpenda dhulma, unayeweza kufanya lolote ili tu ubakie kuwa hapo ulipo zaidi ya yite huwa naona ukiwa CCM akili inatoweka hata kama wewe ni professor
😅😅😅na ndo chama tawala na walivyo mafia saiv kona zote ni wao, mi ningekuwa ney ningejishebedua ili iongezeke ila uhakika mzigo nisingeuacha maana hata huo upinzani wenyewe umetota wananchi ndo wafuuuuuuu
 
Back
Top Bottom