PreGE2025 Nay wa Mitego amkana Mange Kimambi kuhusu madai ya kupewa Milioni 100 na kuhamia CCM

PreGE2025 Nay wa Mitego amkana Mange Kimambi kuhusu madai ya kupewa Milioni 100 na kuhamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mi sifagilii ccm lakini hainifanyi nione waliopo huko ni watenda dhambi na mimi mtakatifu,, sasa kwa mtazamo huu wapinzani mna safari ndefu ya kwenda na bora hao ccm kuliko nyie sasa
Hakuna sehemu nimesema mm ni upinzani

Hapa tunazungumzia mwanamziki mr mitego

Anajulikana zaidi km mpigania haki za binadamu

Leo asaliti nafsi yake kisa milion mia?

Wewe umesema ungekuwa maarfu usingeacha hiyo pesa

Haijalishi utofauti wetu maisha ya binadamu ni kitu cha thamani tisitumie mamlaka yetu kudhulumu wengine
 
Hivi coca uwe maarufu uwekewe 100 mezani kisa tu kusema ccm oyee utaikataa??
Na hiyo milioni 100 huwekewi kwenye akaunti. Unaletewa mabunda laivu minoti myekundu mingi mipyaaa inang'aa ndiyo kwanza imetoka kwenye makabrasha ya BOT na rubber bands zake. Mbona vina na mizani vya mashairi ya kusifia vitaanza kujipanga kichwani otomatikale tu?

Wanasema kila mtu ana bei na katika mambo ya siasa kila kitu kinawezekana. Wakiona anazingua, wanambadilishia gia na kumminya makende huku wakimwonyesha baadhi ya sehemu za kuvutia katika msitu wa Mabwepande. Mbona nyimbo za kusifia atazitunga tu? 😂
 
Mpigania haki wapi huyo hawajafika bei tu, namshauri asiikatae hiyo 100
 
Nay wa Mitego na Roma Mkatoliki ni wanaharakati by nature. Kuwanunua ni ngumu sana. Na hata ukifanya hivyo, kesho ukizingua wanakugeuka. Hawa jamaa wapo kwenye kundi moja na Lissu, Heche,nk. Kiufupi hawanunuliki.
 
Na hiyo milioni 100 huwekewi kwenye akaunti. Unaletewa mabunda laivu minoti myekundu mingi mipyaaa inang'aa ndiyo kwanza imetoka kwenye makabrasha ya BOT na rubber bands zake. Mbona vina na mizani vya mashairi ya kusifia vitaanza kujipanga kichwani otomatikale tu?

Wanasema kila mtu ana bei na katika mambo ya siasa kila kitu kinawezekana. Wakiona anazingua, wanambadilishia gia na kumminya makende huku wakimwonyesha baadhi ya sehemu za kuvutia katika msitu wa Mabwepande. Mbona nyimbo za kusifia atazitunga tu? 😂
Watu wanaongea tu hebu imagine mzigo wa 100 mbele yako ila wamuongezee nyingine 100, ney atawafaa sana, lakini eti asiichukue kisa wananchi mara wafuasi pyeeeeeee atajutia maisha yake yote
 
Mimi nazipokea alafu nazitumia na Siimbi "mama anaupiga mwingi". Wala sisemi ccm hoyee, nitawaambia "No reforms, No election" au nitawaambia "HATUCHEZI"
 
😅😅😅na ndo chama tawala na walivyo mafia saiv kona zote ni wao, mi ningekuwa ney ningejishebedua ili iongezeke ila uhakika mzigo nisingeuacha maana hata huo upinzani wenyewe umetota wananchi ndo wafuuuuuuu
Thamani yako ni kubwa sana kuliko hiyo hela. Waulize mabinti wanaoliwa tito kisa macho matatu hawana hamu lakin watafanyaje sasa imekuwa hivyo tyr?

Ukikubali kununulika wewe tiyari jielewe kumbe ni wa thamani hiyo!!

Alicia Key alikataa kutumbuiza kwa dk9 akaikataa B24 elewa neno Bilioni24!! Na kwa dk9

Kuna mchezaji mwingine wa kiarabu aliktaa kupokea tuzo pamoja na hela zake ni baada kupewa hiyo tuzo ikiwa na nemb LGBT
 
Asije akatunga nyimbo za kuikandia chadema na wapinzani wote. Akatumike huko kwa maslahi yake
 
Thamani yako ni kubwa sana kuliko hiyo hela. Waulize mabinti wanaoliwa tito kisa macho matatu hawana hamu lakin watafanyaje sasa imekuwa hivyo tyr?

Ukikubali kununulika wewe tiyari jielewe kumbe ni wa thamani hiyo!!

Alicia Key alikataa kutumbuiza kwa dk9 akaikataa B24 elewa neno Bilioni24!! Na kwa dk9

Kuna mchezaji mwingine wa kiarabu aliktaa kupokea tuzo pamoja na hela zake ni baada kupewa hiyo tuzo ikiwa na nemb LGBT
Kuliwa tako na kusema ccm oyee mama mitano tena havifananii msijaribu kufananisha vitu nyie,,, huyo Alicia unamlinganishaje mazingira yake aliko na huku??? Acheni kupamba maua kwenye keki iliyooza, upinzani umekosa mwelekeo ney kutokwenda ccm haiwafanyi nyie kuwa imara hata kidogo
 
Binafsi mimi siwezi uza utu wangu kwa fedha.

Lissu si alisema Abdul alienda na wenje hadi kwakwe na mabulungutu ya pesa akasema yeye hanunuliki? Unadhani lissu angenunuliwa kwa sh ngapi?
 
Binafsi mimi siwezi uza utu wangu kwa fedha.

Lissu si alisema Abdul alienda na wenje hadi kwakwe na mabulungutu ya pesa akasema yeye hanunuliki? Unadhani lissu angenunuliwa kwa sh ngapi?
Mtu kuwa ccm haimfanyi apoteze utu wake, hapa umeanza kuleta mihemko ya kisiasa labda nisijue maana ya kuuza utu

Huyo lissu hawajafika bei ya anachokitaka wakimpa uwaziri unadhani atachomoa? Kingine ndo huyu aliyekuwa anauza siri za serikali kwa wale wazungu wa Canada, unajua alilipwa nini? Au alikuwa anajitolea,, hebu nipishe mie
 
Kuhamia sawa lakin kuimba wimbo wa kusifia huko ni kumzalilisha kwanza wimbo wenyew kuimba nazan mpaka sauti itagoma

Hii nchi wajasiri ni wawili tu
1.lissu
2.Nay wa mitego
 
Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote atatangaza kuhamia CCM

"Unaona mimi ni wa million 100 kweli.?! career yangu ina thamani kubwa sanaaaa, mapenzi ya Wana Nchi wangu huwezi fananisha na kiasi chochote cha pesa, na nina enjoy kua ivi nilivyo na Watu wangu. Siwezi kua Chama chochote coz mimi sio mwanasiasa bro"

Mange Kimambi adai Nay wa Mitego kahamia CCM baada ya kupewa milioni 100

Kupitia pags zake, Mange amedai Nay wa Mitego amejiunga rasmi na CCM na kupokea shilingi milioni 100 taslimu, fedha ambazo alipewa moja kwa moja na Abdul kutoka ofisi ya Rais Samia. Anadai mameneja wa Nay waliotarajia kupata asilimia 10 ya malipo hayo hawakupewa chochote baada ya Nay kuwazima.

Pia amesema Nay tayari ametengeneza wimbo wa kumsifu Rais Samia unaosubiri muda rasmi wa kutambulishwa. Mange amewataka wananchi kuwaunga mkono viongozi wanaokataa kununuliwa kama Lissu, akisisitiza kuwa yeye ndiye mwanaharakati pekee mwenye platform kubwa ambaye bado hajasalim amri.
Ney wa Mitego asijipe ukubwa kwenye fedha. Huyu si anakwnda humo Ifakara, Malinyi anapiga kwa Tsh 3 Millioni, kweli aahidiwe Tsh 100 Millioni akatae?? Kwa ajili ya kuwafurahisha wajinga wanaomsifu kwa msimamo?? Siyo kweli
 
Hivi coca uwe maarufu uwekewe 100 mezani kisa tu kusema ccm oyee utaikataa??
Kwa siasa na Dola ya Hapa Nchini, mbna napokea chap kwa fastaa, kwanza wamempendelea, mwenzake Roma aliminywa mbupu na akaamua kukimbia.

Bora yeye amepewa na kifuta jasho, maana wakimuamulia, atake asitake ataimba pambio tyuuh, apokee hizo hela na afanye km watakavyo, maana Bongo enyewe hakuna upinzani wa kweli, ni vigeu geu tyuuh. Lol
 
Na hiyo milioni 100 huwekewi kwenye akaunti. Unaletewa mabunda laivu minoti myekundu mingi mipyaaa inang'aa ndiyo kwanza imetoka kwenye makabrasha ya BOT na rubber bands zake. Mbona vina na mizani vya mashairi ya kusifia vitaanza kujipanga kichwani otomatikale tu?

Wanasema kila mtu ana bei na katika mambo ya siasa kila kitu kinawezekana. Wakiona anazingua, wanambadilishia gia na kumminya makende huku wakimwonyesha baadhi ya sehemu za kuvutia katika msitu wa Mabwepande. Mbona nyimbo za kusifia atazitunga tu? 😂
Nimecheka hatari, Mil 100 ni kiinua mgongo cha mstaafu wa utumishi Serikalini, inakataliwajee?
Aaaah wee!! Mie napokea bhana, siachi helaa.
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom