Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mtu akichukua hela hiyo jua anaweza kuua hata watoto wake kwa waganga umeongea madini sana wewe jamaa big up..Unaweza kuchukua pesa ili ukae kimya watu kuuwawa?
Mtu akichukua hela hiyo jua anaweza kuua hata watoto wake kwa waganga umeongea madini sana wewe jamaa big up..Unaweza kuchukua pesa ili ukae kimya watu kuuwawa?
Unaweza kuua family kwa Waganga kisa hela umasikini wa fikra mbaya sana aisee bora ukose vyote sio huo uliokua nao..😅😅😅na ndo chama tawala na walivyo mafia saiv kona zote ni wao, mi ningekuwa ney ningejishebedua ili iongezeke ila uhakika mzigo nisingeuacha maana hata huo upinzani wenyewe umetota wananchi ndo wafuuuuuuu
Itakuwa ulishawahi kuua ili upate hela kwakweli pole mkuu psmbana tu na hatia yako, mnajua kupindisha mada yani kupokea pesa ili kuhamia ccm ina mahusiano gani na kuua?? Wanaohamia bure je? Ye ana bahati kapewa kibunda cha maana.,,Unaweza kuua family kwa Waganga kisa hela umasikini wa fikra mbaya sana aisee bora ukose vyote sio huo uliokua nao..
Hela ya wauaji watekaji unapokea ya nini muuaji mkubwa wewe umenikera balaa yaani 100 tu inakutoa roho umasikini ni mbaya sana aisee....Itakuwa ulishawahi kuua ili upate hela kwakweli pole mkuu psmbana tu na hatia yako, mnajua kupindisha mada yani kupokea pesa ili kuhamia ccm ina mahusiano gani na kuua?? Wanaohamia bure je? Ye ana bahati kapewa kibunda cha maana.,,
oya ney kama unasoma hapa chukua huo mzigo achana na hizi mbuzi za kafara
Mkuu sio kukaa kimya tu kwa milioni 100 nitakuwa barabarani nimebeba bango kubwa 😏Unaweza kuchukua pesa ili ukae kimya watu kuuwawa?
Hela ya wauwaji wapi hujapata nafasi ya kuipata tu unaongelea humu kwenye keyboard acha unafkiHela ya wauaji watekaji unapokea ya nini muuaji mkubwa wewe umenikera balaa yaani 100 tu inakutoa roho umasikini ni mbaya sana aisee....
Njoo uchukue Land Cruiser uuze bongo 140m achana na hayo mambo nina Fortuner,Cruiser,Ranger na Hllux za kutosha tu.Hela ya wauwaji wapi hujapata nafasi ya kuipata tu unaongelea humu kwenye keyboard acha unafki
😂😂😂😂Nitafutie huyo mtu bro
Ikifanyika research majibu yatapatikana. Mimi ni mmoja wao.Kwan hao wasanii wa CCM wamepoteza mashabiki gn?
Mond amekosa mashabiki?Ikifanyika research majibu yatapatikana. Mimi ni mmoja wao.
Anao wale wapenda nyimbo za matusi.Mond amekosa mashabiki?
Katka pitapita zangu naona snop dog ana trend na ukadrinali uko Vatican 😂😂Yaani watu wanauawa kwa kumkosoa Sa100 unaona sawa!? Wewe huna tofauti nao. Unless useme kuwa hao wapinzani nao wanaua watu kwa kuwapinga.
Sio kweli,unakubali tu mchana kweupe🤣🤣🤣Hivi coca uwe maarufu uwekewe 100 mezani kisa tu kusema ccm oyee utaikataa??