Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti.

Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana ni kweli tupu yenye uchungu, kuanzia ikulu, bungeni hadi maofisini na vyuoni.

Amkeni by Ney wa Mitego!

 
Huyu kijana ndiye regendary wangu, ananikumbusha mbali sana, msanii lazima awe mtetezi wa wananchi bila kujali kitakachomkuta, siyo msanii anageuka kuwa kibaraka wa watawala kwa kuwasifia hata visivyostahiri, mpaka watu wanajiita chawa
 
Aloooooooooo
wote ni wanaharakati wazuri.
roma mafumbo mengi na inahitaji akili mingi kumuelewa mistari yake.
ney yeye anayamwaga hadharani hata mtoto wa darasa la pili anaelewa kilochoimbwa.
 
Kwa mazingira ya sasa ya uimbaji wa roma na ney
ney ndo alitakiwa awe ughaibuni sasabu hapunguzi ukali wa mistari yake na roma ndo alitakiwa awe bongo.
 
Back
Top Bottom