Ney wa mitego - Amkeni


Ikikupendeza Mungu chukua na hawa
 
Kwani maoni ya Ney na wanasiasa na wananchi wengi ni yapi? Nadhani tofauti ni njia ya uwasilishaji tu, yeye ametumia mashairi.
Ndio atakuwa charged na lugha ya uwasilishaji sio njia
 

Mkuu mbona kama umepaniki povu linakutoka?

Jifunze kuheshimu mawazo na hisia za wengine
 
Nay sio mchoyo wa kutoa mawazo yake.

Ila ni muhimu kujua unaowasemea kama wako tayri kukusemea/kukutetea.

Vita na serikali ni ngumu sana.
 
Nguvu yetu CCM ipo kwenye kujisahihisha.Tumeanza kujisahihisha kuanzia jana kupitia tamko la hekima la Makamu mwenyekiti wetu Mhe.Kinana.
CCM ni kama Kanisa Katoliki ambapo likikosea mwelekeo huwa linajisahihisha haraka.
Usifananishe kanisa na takataka
 
Aloooooooooo
wote ni wanaharakati wazuri.
roma mafumbo mengi na inahitaji akili mingi kumuelewa mistari yake.
ney yeye anayamwaga hadharani hata mtoto wa darasa la pili anaelewa kilochoimbwa.
Na hili ndo kosa alilolifanya linalosababisha BASATA waanze kumfikiria
Angetumia fasihi kama ROMA isingeleta shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…