Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Hivi press imeshaanza? Au alisema itaanza muda gani?
 
Ww ukipiteza daftar au hela afu jamaa akakupa matumaini kuwa itafute tu iyo vizur kufika jioni utakuwa ushaipa na kweli kabla jioni haijafika ushaipata utaamini kuwa yeye ndo aliificha hela yako.....muwe mnatumia na akili kuwaza

Kweli, lakini, iwe akili ya uchambuzi.
 
Mimi nafikiri hili dongo ni kwa diamond!
sidhani kama roma alijiteka kutafuta kiki!
Asingemuingiza ruge kwenye yale maelezo yake!
hapa kuna jambo
 
Hivi nyie misukule wa Madale mbona uelewa wenu wa kupembua mambo ni mdogo kiasi hiki?!

Yaani umekaa kabisa umefikiria alafu umekuja na jibu Roma wakati dunia nzima tunajua Dimond na Mlezi wenu Bashite wakishirikiana na Babu Talent ndio walicheza hii sinema kwa vipande kadhaa vya fedha.
 
Ukiwa na akili mdogo ni vigumu kufikilia nje ya box.....akili ndogo ndo matji wa wenye uelewa utakuja kushtuka watu wana magorofa ndo utakuwa ushachelewa
 
Ww ukipiteza daftar au hela afu jamaa akakupa matumaini kuwa itafute tu iyo vizur kufika jioni utakuwa ushaipa na kweli kabla jioni haijafika ushaipata utaamini kuwa yeye ndo aliificha hela yako.....muwe mnatumia na akili kuwaza
Wewe ni mwehu mkubwa.

Tunazungumzia watu Wewe unazungumzia mtu kukufichia hela yako pumbavu ebooooo
 
Wewe ni mwehu mkubwa.

Tunazungumzia watu Wewe unazungumzia mtu kukufichia hela yako pumbavu ebooooo
Akili ndogo huwezi jua nn nimemanisha kaa pembeni usaidie mama ako kuosha vyombo
 
Diamond kalipwa mihela na Bashite
 
Akili ndogo huwezi jua nn nimemanisha kaa pembeni usaidie mama ako kuosha vyombo
Kuosha vyombo ni kazi pendwa ya baba ako Dimond aliyokuwa akipenda kuifanya jikoni kwa Bob Junior
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…